Huyu ndio mwanaume ninayemtaka, sitaki kuumiza moyo wangu una thamani

Dada samahani kama nitakukwanza ila umetaja neno mungu kwa herufi ndogo sana hilo jina pendwa sasa sijui umejiapia mungu yupi? Maana kuna Mungu jina pendwa na mungu bahari au miti, au milima.

Kwa maelezo yako tu nimegundua hakuna mwanaume mwenye hizo sifa ataamua kupotea njia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata Raisi magufuli sidhani kama alipitia mchujo huu pale CCM kuchukua karata ya kupeperusha bendera ya CCM kwenye national election 2015.



Dada zetu punguzeni vigezo muolewe mapema. Mnachangia kujichanganya kisaikolojia mwisho wa siku mnachezewa na hamuolewi.


Watu watakuigizia waje na hizo sifa wakupige mashine ubaki unashangaa. Hivyo vyote vigezo mtu anaweza kuigiza. Be careful amini na ipe Nafasi kubwa imani yako kwenye kutafuta mume. Na sio vigezo vyako vya mtu kuwa na pua ndefu.




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah!Hilo tangazo noma sana.Mimi hizo sifa zingine ninazo isipokuwa mbili tu
1-Nina pua ndefu ila kubwa kama rungu la komredi Kipepe(I'm not bluffing)
2-Elimu sina yenye cheti.Nimeishia la sita.Namiliki cheti cha ubatizo+komunyo+kipaimara.
Je,utanipendaaa?
 
Dah!Hilo tangazo noma sana.Mimi hizo sifa zingine ninazo isipokuwa mbili tu
1-Nina pua ndefu ila kubwa kama rungu la komredi Kipepe(I'm not bluffing)
2-Elimu sina yenye cheti.Nimeishia la sita.Namiliki cheti cha ubatizo+komunyo+kipaimara.
Je,utanipendaaa?
Nikiwa na stress lazima nifungue huu Uzi basi najikuta nachekaaa kama jinga hivi

Huu Uzi utabaki kileleni.
 
Si bora ungemtafuta kwanza mwalimu akufundishe tofauti ya R na L kabla ya kutafuta mme.

Na hapo una degree, duuh! si balaa hili.
Unakuta mtu ni raisi ama professor na PhD zao hajui kati ya R na L, kuchapia ndio usiseme.sembuse mm?
Asante kupungizia.stress zako hapa.na vile huna kazi unalala kwa shemeji sebleni, pole Dogo langu.
 
Nikiwa na stress lazima nifungue huu Uzi basi najikuta nachekaaa kama jinga hivi
Huu Uzi utabaki kileleni.
Sasa mbona hautoi jibu?Mimi nilijieleza hadi nikaapia.Naamini umeona.Ujue nikilala nakuota weye tu?Do something, inna morata,for the well being of my healthy love!
 
Hahhha ndiyo Elimu yetu hiyo usishangae
Msomi mwenye degree hajui tofauti ya R na L
Ndio kuna kazi za mwalimu zilitoka majuzi, bila shaka uliomba, ukipata ukafundishe watoto vizuri maana kubaki Jf bila kazi Nayo ni shida. kitu kidogo tu kukosea herufi mnakosoa as if hukuona kingine cha kusema?

Uzi una zaidi ya mwaka humu hamchoki kusoma??
 

Similar Discussions

88 Reactions
Reply
Back
Top Bottom