Huyu ndio mwanaume ninayemtaka, sitaki kuumiza moyo wangu una thamani

Yaan wanawake wanajidai kuringa sna wakiwa 22-27 ila wakiona tayar wameanza kufanya utandu utandu kwenye papuch ndo wanakuja na matangazo kama haya

Ulifikaje mpaka unahitaj mwanaume wa 34+ km ww sio second hand

We kaa tu hivyo hivyo hadi utaota uyoga kunako k maana kwa vigezo hivyo haupati mtu
 
Waulize wote walokuja pm kama kuna MTU amenibeba ahaaa si kwanza waninijue? Ahaaaa jiliwaze.ukitaka kudhibitisha njoo pm na I'd mpya nikunyooshe.
Duh mkuu una mbwembwe sana, namuombea mme mtarajiwa azimudu hizo mbwembwe zako

By the way, ameshajitokeza ?
 
Yaan wanawake wanajidai kuringa sna wakiwa 22-27 ila wakiona tayar wameanza kufanya utandu utandu kwenye papuch ndo wanakuja na matangazo kama haya

Ulifikaje mpaka unahitaj mwanaume wa 34+ km ww sio second hand

We kaa tu hivyo hivyo hadi utaota uyoga kunako k maana kwa vigezo hivyo haupati mtu
Kale kipolo cha wali.mkuu maana sio kwa povu hili tho nakushukuru.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom