Huyu ndio msichana wa kiafrika mzuri kuliko wote duniani..

LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
15,071
27,008
Tazama movie hii, utamuona, jina analotumia kwenye movie hii, ni Nkiruka ( Nkiruka is an igbo name which means THE BEST IS STILL TO COME ).. Hebu mtazame halafu utoe maoni yako.

Sorrow To Joy - YouTube
 
we LIKUD wewe.................

halafu anaitwa Nkeiruka.......

Jina lake halisi silijui, ila jina alilo tumia kwenye hii movie ni Nkiruka au Nkiru kwa kifupi, ni jina la ki -igbo linalo maanisha The best is still to come . Ukisikia mwanaume wa kiafrika anasema anataka msichana wa kiafrika, anakuwa anazungumzia msichana kama huyo. Umetazama hiyo movie lakini? @ Heaven on Earth
 
aisee mbona wa kawaida sana! sasa mkuu LIKUD si itakua unapata tabu sana ukizunguka dar au mitaa ya masaki na mikocheni maana ma hosegal wengi wa kishua wa kama huyo Nikiruka!
 
Mimi nimeshastaafu ngoja nimwite kijana wangu
ilisha junior njoo comment hapa!
 
Last edited by a moderator:
Jina lake halisi silijui, ila jina alilo tumia kwenye hii movie ni Nkiruka au Nkiru kwa kifupi, ni jina la ki -igbo linalo maanisha The best is still to come . Ukisikia mwanaume wa kiafrika anasema anataka msichana wa kiafrika, anakuwa anazungumzia msichana kama huyo. Umetazama hiyo movie lakini? @ Heaven on Earth

No sijatazama yote.....nimechek tu baadhi ya sehem.mie nimemuona kawaida
sijui ndo ile ya beauty is in the eyes of the beholder".....
jina lake halisi ni Vanessa Gabriel
 
hmmm huyo mdada mbona normal sana! Uwiiii yani normal mnoooo! Kuna watoto wakareeee zaid!
Yani labda ulitaka ubishi tuu ila kama ni ukweli we vaa miwani upya!!
Af wanaija mabebs wa kawaida mno!!!! Bongo tumewaacha mbali munoooooooo!!! Kama vipi naija wajipange.. In lemutuzzzz voice
 
aisee mbona wa kawaida sana! sasa mkuu LIKUD si itakua unapata tabu sana ukizunguka dar au mitaa ya masaki na mikocheni maana ma hosegal wengi wa kishua wa kama huyo Nikiruka!

Sijaangalia sura tu kaka, nimeangalia na tabia zake, gestures zake. She is a wife material.
 
hmmm huyo mdada mbona normal sana! Uwiiii yani normal mnoooo! Kuna watoto wakareeee zaid!
Yani labda ulitaka ubishi tuu ila kama ni ukweli we vaa miwani upya!!
Af wanaija mabebs wa kawaida mno!!!! Bongo tumewaacha mbali munoooooooo!!! Kama vipi naija wajipange.. In lemutuzzzz voice

Huyo dada ni mzuri sana, sema tu kama unataka kuweka ligi.
 
Back
Top Bottom