Huyu ndio mcheza soka aliyefariki baada ya kuanguka uwanjani!

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,299
33,079
<small style="font-family: Tahoma, Arial, Helvetica, sans-serif; font-size: 1.1em; line-height: 1.6em; padding-bottom: 1.4em; color: rgb(116, 119, 117); ">
</small>
3
Venkatesh alipozimia uwanjani ambapo ishu inayofanana na hii ilikuta Fabrice Muamba wa Bolton ambae alipona kutokana na ushapu wa madaktari.
Wakati hii stori inatoka millardayo.com ilikua na tatizo so sikuweza kuiweka ila ni kwamba huyu ni mwanasoka wa India aliefariki dunia baada ya kuzimia uwanjani katika mechi ya ligi ya nyumbani Bangalore India.
D. Venkatesh akiwa na umri wa miaka 27 kiungo wa klabu ya Daraja la A, Bangalore Mars, aliingia uwanjani akitokea benchi dakika ya 73 na akazimia mwishoni mwa mchezo kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na madaktari.
Bongostaz wameamplfy kwamba Vyombo vya habari nchini India, vimesema hakukuwa na gari la wagonjwa na Venkatesh alipelekwa hosptali ya Hosmat Jumatano kwa bajaji, huku taarifa za mwanzo zikisema uzembe ulichangia kifo chake.
.
Umeipenda Hii Story? Share na Washkaji:

GARI LA WA WAGONJWA INDIA NI BAJAJ BONGO LIPO GARI LA WAGONJWA LA BAJAJ?
 
Back
Top Bottom