mkandu
JF-Expert Member
- Dec 29, 2016
- 335
- 460
Tena kinachoshangaza siku zote ishu za ulalamikaji kwenye media ni za wananchi wa kawaida sio mtu km waziri mwenye dhamana anapolalama kwenye media naona km anaandaa attetion ya kulazimisha ukweli uwe uongo na uongo uwe kweli na siku zote tunajua uongo ukizoeshwa saana masikioni mwa watu hufikia hatua watu kuona ni ukweli.toa upuuzi hapa kama Dr.mwakyembe ni MTU safi kwani asiujiudhuru. au kwanini asijitoe kwernye chama fisadi?? na Je? kwanini anakubali nafasi za uteuzi?? kwenye serlikari ovu??
Na haya yanatokea tu kwa kuwa eti utawala uliopita ilikuwa na mapungufu basi watu wanatake advantage ya kuyaharamisha hata yale yalokawa halali eg. Yule mana wa Tanga anaedai mali za familia na kwenda kujiliza kwa Jpm ila kiukweli c mrithi sahihi.
Ninachokiamini mimi mtu km huamini ktk yanayofanyiwa ktk tawala husika huna budi kujiuzuru km alivyokafanya lowasa km hujajiuzuru hatutakuamini kwa lolote kwetu tutakuita MNAFIQ
Au ndo unakamata 6 unapitisha 3.
Tuache movie liendelee hadi sasa sijamjua Starling.