Huyu ndio Ibrahim Pasha wa Tamthilia ya Sultan

Tz waigizaji wengi Std 7 na fm4 failure hafu tutegemee wataigiza kama waturuki, au wakorea au waphilipino, nazani Sana'a ya Tz haitakuja kukuwa.
Famous Actors who didn't go to Acting school...
1)Tom Cruise
2)Mel Gibson
3)Jim Carey
4)Brad Pitt
5)Jason Statham
6)Jonny Depp
List ni ndefu...sio kila kitu unabeza kuna watu wanazaliwa na Talent...Kiba na Mond wamesomea muziki??pale mlimani kuna mwanafunzi anaweza kuwashinda(Chemical)
 
Back
Top Bottom