Huyu ndio Faru Fausta wa Ngorongoro,atimiza miaka 54,aishi chini ya ulinzi wa kijeshi masaa 24

Kama ni kweli basi waache nature ichukue mkondo wake....mnyama akizeeka aidha atakufa kwa njaa au ataliwa na wenzake...sasa hoja ya kumlinda inatokea wapi hasa?! Walinde tu majangili wasimshambulie ila akina fisi ruksa...ndo majukumu yake ya kiasili.
 

Mbuga za Wanyama Tanzania ya kwanza ni Serengeti,Ngorongoro,Manyara na Mikumi ooh Tanzania Hoyee
Faru Fausta!
 
Back
Top Bottom