David Mushi
Senior Member
- Sep 24, 2015
- 127
- 93
Nadhani ulikuwa Bado Mtoto sana wakati huo.Kama Ulikuwa unanyonya.Yule Agnes Masogange???
Nadhani ulikuwa Bado Mtoto sana wakati huo.Kama Ulikuwa unanyonya.Yule Agnes Masogange???
mbona pembe zake zimebaki vipisi!??
Aisee.Sijamuona Mda mrefu sana.Huwa Anajilikana kutokana na Pembe yake kubwa ya Mbele kukatika kidogo kwa juu.
Namkumbuka Mama yake Alikuwa Anaitwa Agness.
Sizani kama anaombewa maisha marefu anahesabiwa siku tuu wakti tukiendelea kutafuta mteja mwenye Pesa ndefu.Ashi maisha marefu
Huyu kesha zeeka....Vipi tabia za faru fausta? Isije ikawa yeye sifa yake kuu ni kutoa papuchi bila hiyana, maana yule mwenzake faru john kazi yake ilikua ni kugegeda tu wenzake
Ha ha ha uchochezSizani kama anaombewa maisha marefu anahesabiwa siku tuu wakti tukiendelea kutafuta mteja mwenye Pesa ndefu.
Una maanisha Faru PombeIla hii tabia ya kuwapa faru majina ya binadamu naona haijakaa vizuri. Alianza faru John, masihara masihara hivi siku tunaweza kuskia faru
Hahaahaaa.... Umejuaje!!!Nadhani ulikuwa Bado Mtoto sana wakati huo.Kama Ulikuwa unanyonya.
Kuna mmoja nilisikia kama vile anaitwa Khadija......Faru John, Faru Fausta...!! ina maana Faru wote ni Wakristu?...
Hivi tume ya Mwl. Majaliwa ishatoa ripoti ya Brother John?Ha ha ha uchochez
Una maanisha Faru Pombe
Bado wanakula per dmHivi tume ya Mwl. Majaliwa ishatoa ripoti ya Brother John?