evonik JF-Expert Member Jun 12, 2015 3,998 5,131 Sep 12, 2019 #2 Halafu yupo kituo cha polisi, namuona port nusu Stoke nduki
May Day JF-Expert Member May 18, 2018 6,162 8,820 Sep 12, 2019 Thread starter #3 evonik said: Halafu yupo kituo cha polisi, namuona port nusu Stoke nduki Click to expand... Unahitaji kende za chuma kukabiliana na Nyoka kama alivyofanya huyo Baharia, Mwanaume wa Dar hapo ingekuwa mayowe tu.
evonik said: Halafu yupo kituo cha polisi, namuona port nusu Stoke nduki Click to expand... Unahitaji kende za chuma kukabiliana na Nyoka kama alivyofanya huyo Baharia, Mwanaume wa Dar hapo ingekuwa mayowe tu.
chuma cha mjerumani JF-Expert Member Dec 4, 2013 11,118 22,505 Sep 12, 2019 #5 ha ha ha kwaiyoo huyuu ndo mwanzilishi wa ubaharia?
May Day JF-Expert Member May 18, 2018 6,162 8,820 Sep 12, 2019 Thread starter #6 chuma cha mjerumani said: ha ha ha kwaiyoo huyuu ndo mwanzilishi wa ubaharia? Click to expand... Bila shaka.
chuma cha mjerumani said: ha ha ha kwaiyoo huyuu ndo mwanzilishi wa ubaharia? Click to expand... Bila shaka.
chuma cha mjerumani JF-Expert Member Dec 4, 2013 11,118 22,505 Sep 12, 2019 #7 May Day said: Bila shaka. Click to expand... nitumie namba zake kuna jamaa anataka kufungua tawi la mabaharia arachuga.
May Day said: Bila shaka. Click to expand... nitumie namba zake kuna jamaa anataka kufungua tawi la mabaharia arachuga.
FatherOfAllSnipers JF-Expert Member Mar 13, 2019 1,638 4,210 Sep 12, 2019 #8 Mimi nataka ile picha ya kikao cha mabaharia
May Day JF-Expert Member May 18, 2018 6,162 8,820 Sep 13, 2019 Thread starter #10 Gyole said: Aiseee Click to expand... Ukisikia undava ndio huo.
Unforgettable JF-Expert Member Aug 1, 2019 5,271 11,763 Sep 13, 2019 #11 huyu baharia nimemkubali Cc Kingsmann
Gyole JF-Expert Member Sep 20, 2013 7,007 7,045 Sep 13, 2019 #12 May Day said: Ukisikia undava ndio huo. Click to expand... Yaani daah
FYATU JF-Expert Member Dec 7, 2011 5,392 4,468 Sep 14, 2019 #13 May Day said: Ukisikia undava ndio huo. Click to expand... Huyu jamaa ni mbabe.
Smart911 Platinum Member Jan 3, 2014 119,056 141,867 Sep 15, 2019 #15 Needs balls of steel... needs guts.. Mmeona jinsi binadamu wa siku hizi walivyokua wabishi sana... Cc: mahondaw
Needs balls of steel... needs guts.. Mmeona jinsi binadamu wa siku hizi walivyokua wabishi sana... Cc: mahondaw
May Day JF-Expert Member May 18, 2018 6,162 8,820 Sep 16, 2019 Thread starter #17 JOTO LA MOTO said: Huyo bwana ni mbishi. Click to expand... Baharia atishiwi krahisi rahisi.