Huyu ndie nakwenda kujirusha naye weekend hii

Ndallo

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
7,622
2,000
Datoga tribe.jpg Wenye wivu wajinyonge!!
 

Fab

JF-Expert Member
Apr 16, 2010
763
0
wadada wa JF mnaona kujipamba huko???
sio mnaenda kutumia sijui products za MAC...
si mnaona mtu alivyopendeza???LOL
 

babu M

JF-Expert Member
Mar 4, 2010
4,967
2,000
Akiwa ni mwanamke,mwanaume ukatoka nae utajisikia kama unatoka na mwanaume mwenzako.Aakiwa ni mwanaume,mwanamke utajisikia kama unatoka na mwanamke mwenzako.Labda kama umetokea kwenye hilo kabila.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom