huyu ndie mwenye karata ya kuiangusha CCM 2015 kwa kila namna

Baba C

Senior Member
Mar 15, 2012
125
55
Mh. Edward lowasa asiposimamishwa agombee uraisi 2015 kambi yake ama itaanzisha chama au kuinga mkono cdm kwa wazi au kwa siri.

Kama akisimamishwa agombee urais kambi ya sitta,nape,mwakyembe,magufuli,membe aidha wataanzisha chama ama kuunga mkono upinzani kwani lowasa akiwa rais itakula kwao.

Either of the option itaporomosha ccm na kuipa nguvu upinzani
 
Lowassa tumuogope kama ukoma. Hela anazoweka apate hicho cheo na jinsi Wachina wanavyoitomasa Tanzania, hii nchi itauzwa yote kwa Mchina. Hizo pesa anazoweka lazima atataka kuzirudisha.
Ehe Mungu wapeleka Roho wako Mtakatifu kwa Watanzania tuweze kutambua hili. Amina
 
mwacheni el apumue ana haki ya kugombea mamuzi ni sisi kuwa na hela dhambi kama ni za ufisadi mahakama ipi ilitoa hiyo hukumu??
 
Mh. Edward lowasa asiposimamishwa agombee uraisi 2015 kambi yake ama itaanzisha chama au kuinga mkono cdm kwa wazi au kwa siri.

Kama akisimamishwa agombee urais kambi ya sitta,nape,mwakyembe,magufuli,membe aidha wataanzisha chama ama kuunga mkono upinzani kwani lowasa akiwa rais itakula kwao.

Either of the option itaporomosha ccm na kuipa nguvu upinzani

Sifa kuu ya membership ya JF imebaki ni kujua kusoma na kuandika basi.
 
Huyu jamaa Lowasa si nasikia anaumwa huyu, akipata uraisi si ndo atakufa kabisa kwa stress za kiutawala?
 
Anatafuta ukuu wa nchi wa garama zote na kwa nguvu zote tumwache aendelee kwani ni haki yake, wabongo kazi yao kuamua tuwaelimishi tu
 
Mh. Edward lowasa asiposimamishwa agombee uraisi 2015 kambi yake ama itaanzisha chama au kuinga mkono cdm kwa wazi au kwa siri.

Kama akisimamishwa agombee urais kambi ya sitta,nape,mwakyembe,magufuli,membe aidha wataanzisha chama ama kuunga mkono upinzani kwani lowasa akiwa rais itakula kwao.

Either of the option itaporomosha ccm na kuipa nguvu upinzani

tusubiri maana mwaka huu tatayaona mengi
 
Huo ni upotoshaji na kuogopesha uma Wa watanzania Edward Lowassa si mtu wakulipa vizazi. Ni mchapa kazi na hana ubaguzi ni mpenda maendeleo ,tembelea Jimbo lake uone. Jamani tumuunge mkono.
 
Mh. Edward lowasa asiposimamishwa agombee uraisi 2015 kambi yake ama itaanzisha chama au kuinga mkono cdm kwa wazi au kwa siri.

Kama akisimamishwa agombee urais kambi ya sitta,nape,mwakyembe,magufuli,membe aidha wataanzisha chama ama kuunga mkono upinzani kwani lowasa akiwa rais itakula kwao.

Either of the option itaporomosha ccm na kuipa nguvu upinzani
Huu ni utabiri au ni utafiti?

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
najua kabisa wanaomponda lowassa either wana akili vinyu means hawaoni mbali pia wanashabikia tuuu kama vile man u au asernal wenye akil na wasomi watamuunga mkono lowassa, sasa ww kaa huko mtaan piga kelele tuuu bila data

"no data no talk"
huna data kaa kimya.
 
Lowasa ana wakati mgumu sana ili kuwafanya raia wamwelewe kama hakuhusika na kashfa ya Richmond. Ikulu kuna nini hasa mpaka mtu apasake kwa nguvu kama anavyofanya Lowasa??.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom