Huyu ndie fideline iranga original | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Huyu ndie fideline iranga original

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Pdidy, May 5, 2010.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  May 5, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,375
  Likes Received: 5,660
  Trophy Points: 280
 2. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #2
  May 6, 2010
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Mhh hizi tuzo jamni nyingine ni kama kejeri vile1
   
 3. Eliphaz the Temanite

  Eliphaz the Temanite JF-Expert Member

  #3
  May 6, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 2,836
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Hayo masihara jamani stage yenyewe utafikiri ya mganga wa kienyeji! Tupo sasa ndio sina mbavu kiubao kimebandikwa mglass huo! Tuwe serious basi wazee
   
 4. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #4
  May 6, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  i see super model....
   
 5. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #5
  May 6, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,307
  Likes Received: 22,111
  Trophy Points: 280
  No comment
   
 6. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #6
  May 6, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  mmmh! kwa upande wa Make up sijui huwa nani anamfanyia...
  huwa hazieleweki kabisa ...
   
 7. N-handsome

  N-handsome JF-Expert Member

  #7
  May 6, 2010
  Joined: Jan 23, 2008
  Messages: 2,317
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 160
  Hata Mbuyu ulianza kama mchicha, where do you think they gonna be on red carpet, tuprovide solution na how to develop what they have started. Ila tupunguze copy cat
   
 8. K

  KABAZI JF-Expert Member

  #8
  May 6, 2010
  Joined: Apr 19, 2010
  Messages: 303
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Huyu dada nilishawahi kumwona in one of the hotels it was evening. Kwa kweli kama ndio umodel sio hivyo kwanza nguo anazovaa aziendani na mwili. Anyway labda wenzetu kina dada mtusaidie, design za nguo zinategemeana na mwili au title ya mtu?
   
 9. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #9
  May 6, 2010
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  role models wa tanzania bwana! mgogro!

  unaambiwa fideline role model, ukitoka hapa unaambiwa maimartha :D i luv Tanzania
   
 10. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #10
  May 6, 2010
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Jamani Hivi Tasfiri ya Model au qualification ya model ni ipi? maana Ma Model nnaowajua mie si PLUS size huyu huo u Model nani kampa?
   
 11. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #11
  May 6, 2010
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0

  huyu dada cjui ni hajielewi au nisemeje jamani, make up/vaa yake ovyo ovyo...
   
 12. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #12
  May 6, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,375
  Likes Received: 5,660
  Trophy Points: 280
  KAA MACHO 24HRS Mwanamitindo wa siku nyingi nchini, Fideline Iranga anasakwa na polisi baada ya kudaiwa kumfanyia kitu mbaya mzungu mmoja ndani ya chumba cha ‘mtasha’ huyo mjini Zanzibar, Risasi limedokezwa.... Kwa mujibu wa chanzo chetu cha habari cha kuaminika, tukio hilo limetokea hivi karibuni wakati Fide alipokaribishwa kulala katika chumba cha mzungu huyo ambaye alikuwa safarini. Habari zinasema kuwa mwanamitindo huyo alikwenda Zanzibar akiwa ameongozana na rafiki yake na kufikia kwa dada wa rafiki huyo ambako Fide alipewa chumba cha kulala, naye kwenda kulala sehemu nyingine. “Chumba ambacho Fide alipewa kulala, kilikuwa kinatumiwa na mzungu huyo ambaye ni mume wa dada wa rafiki wa mwanamitindo huyo ambapo wenyeji hao walikuwa safarini nje ya Zanzibar,” alisema mtoa habari huyo. Ilidaiwa kuwa katika chumba ambacho mrembo huyo alikaribishwa kulala, kulikuwa na kabati ambalo lilikuwa na dola za Kimarekani 1800 sawa na shilingi za kitanzania 2,156,400 ambazo zilichukuliwa na mrembo huyo. Aidha, imedaiwa kuwa kulikuwa na shilingi 300,000 tasilimu za Kitanzania ambapo Fide nazo alizichukua usiku huo. Mtoa habari huyo alisema kuwa mwenyeji wao huyo hakugutuka juu ya upotevu huo wa pesa hadi asubuhi wakati Fide na rafiki yake huyo walipoondoka kurejea jijini Dar es Salaam. “Mke wa mzungu huyo aligutuka mchana alipokwenda kuweka sawa chumba alicholala Fide, ambapo alikutana na mabadiliko ikiwa ni pamoja na kulikuta kabati la nguo likiwa wazi na ndipo alipobaini kuwa fedha za mumewe zilibiwa,” kilipasha chanzo hicho. Baada ya kubaini kuibiwa alikwenda katika Kituo kikuu cha Polisi Zanzibari kutoa taarifa na msako ulianza. Hata hivyo, habari zinasema kuwa shemeji wa mzungu huyo hivi karibuni alitua jijini Dar es Salaam na kwenda katika kituo cha Polisi Oysterbay kumsaka mwanamitindo huyo lakini hawakufanikiwa. Mwandishi wetu alikwenda katika kituo cha Polisi Oysterbay ambapo askari mmoja (jina tunalihifadhi) alimthibitishia mwanahabari wetu kuwa mwanamke huyo kutoka Zanzibar alifika kituoni hapo kumsaka mtuhumiwa wake. “Ni kweli huyo dada alifika hapa kituoni na akiomba msaada wa kumsaka mtuhumiwa wake, nasi tunamsaidia,” alisema askari huyo. Mwandishi wetu jana (Ijumaa) alimpigia simu Fide na kumuuliza kuhusu madai hayo lakini alisema kuwa hafahamu habari hizo. “Wewe ni mwandishi wa chombo gani?” Aliuza Fide, alipojibiwa alisema “Sifahamu habari hizo.”
   
 13. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #13
  May 6, 2010
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Hehehehe huyu anafaa aombe kazi kwenye mizengwe.
   
 14. N-handsome

  N-handsome JF-Expert Member

  #14
  May 6, 2010
  Joined: Jan 23, 2008
  Messages: 2,317
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 160
  Ni model wa mazageti au? kumbe anatuhumiwa kukwiba? hafai kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaa
   
 15. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #15
  May 6, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Ni Top model wa Tanzania kimitindindo mavazi sijui na nini kingine
   
 16. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #16
  May 6, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Ni mambo ya uniqueness hayo FL1 by the way tulikusubiri sana na wifiyo!
   
 17. N

  Nasolwa JF-Expert Member

  #17
  May 6, 2010
  Joined: Jun 12, 2008
  Messages: 1,830
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  [​IMG]
  Fideline iranga original - Moja wa wavaa hovyo Tanzania
   
 18. E

  Erica Furaha Member

  #18
  May 6, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  yaani hujakosea kabisa
   
 19. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #19
  May 6, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,375
  Likes Received: 5,660
  Trophy Points: 280
  Jamani huyu dadaa ni mjasiramal wa kutosha pamoja fujo zake
  waulizen wakina uwiya ezekiel na wengineo walivyopata soko kuu kupitia huyu
  dada...hakika baadhi ya majina yamejulikana kupitia huyu dada na sijui kwa nini
  awajampa mualiko wa

  wef

  ana ugunduzi mkubwa saana ambao anaweza kuwasaidia wengine
   
 20. IHOLOMELA

  IHOLOMELA JF-Expert Member

  #20
  Jun 28, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 830
  Likes Received: 359
  Trophy Points: 80
  Huyu ni mwizi au wanamsingizia? Tunataka ushahidi
   
Loading...