Huyu ndie dk. Si raha

KakaNanii

JF-Expert Member
Sep 28, 2008
325
52
Eti nasikia huyu muheshimiwa anafanya kazi hii kwa sasa
 
Attachments

  • PADRE SI RAHA.jpg
    PADRE SI RAHA.jpg
    16.2 KB · Views: 646
Hii picha ya kubumba imezeeka. When a joke is over-told, it is not funny any more.
 
Eti nasikia huyu muheshimiwa anafanya kazi hii kwa sasa
Umelamba shilingi ngapi, na una umri gani? Otherwise utahongwa hadi ufe, najua wameshakupa fedha zetu za kodi ulete hapa hiyo picha
Kajifunze kidogo.
YOU ARE NOT A GREAT THINKER!!!
Mchakachuaji mkubwa we!
 
Upadiri ulimshinda huyo kwa totoz
Hopefully you dont know about totoz, na mambo kibao! Upadri hauwezi kumshinda mtu ila uadilifu wako ndo ukufanye ujiuzulu. Watu kibao wanakula totoz wa kweli lakini wanadunda hadi kustaafu, Sembuse yeye aliyekuwa kwenye ulaji, na aliachia ngazi.
Huyu doctor wa kweli bwana
 
Upadiri ulimshinda huyo kwa totoz

i think you are using your downstairs as your upstairs is incapacitated to give any sensible topic or argument; I triuly pity you!!! Plus, remember, nothing that a person like you says against a great person like Dr. Slaa can be even not as anything, so you better stop before you continue to expose mental scantiness
 
dont know what He/she write
 
Eti nasikia huyu muheshimiwa anafanya kazi hii kwa sasa

Kwanza kama "unasikia" why not wait till you prove what you are saying? Pili, mtu kama wewe hawezi kumdhalilisha mtu maarufu na msomi kam aDr. Slaa; wewe hata hoja umekosa ya kuweka unakurupuka tu? Nani atakusikiliza or even take you seriously, all you need is pity!!!! And I wonder if you will even get it. "Eti naskia" inaonyesha kabisa kuwa wewe ni umbea tu unaiishi nao, je, unafahamu watu wa aina yako?
 
Mbona makamba ndo alibaka kabisa akafukuzwa ualimu..na sasa anabaka mali zetu za walipa kodi...
 
attachment.php

Wahusika wa-comment,,ila najua upadri ulimshinda maana alipenda ya dunia zaidi
 
Wewe mwehu kakananii mikono yakizungu kichwa mwafrika are you ok upst??alafu huyo ni athodox go away pusi
 
Kwa yeyote mwenye maadili mema picha hiyo inaonyesha jinsi gani Dr. Slaa alivyo credible mwenye historia nzuri. Kujitoa Upadre sio DHAMBI bna hata kanisa linachukulia kitendo kama hich kuwa cha heri pale binadamu anapotambua wito wake hal;isi badala ya kuendeleza maovu wakiwa na sura za udini.

Hebu tuwekee na picha za Makamba akiwa Mwalimu (UPE).
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom