Huyu ndie Arnaldo Ariel Ortega, from Ledesma Jujuy, Argentina!

Buenos Aires

JF-Expert Member
Dec 29, 2015
1,895
1,608
Screenshot_20190811-154029_Chrome.jpg

Date of birth4 March 1974 (age 45)
Place of birthLedesma, Jujuy, Argentina
Height1.70 m (5 ft 7 in)
Playing positionAttacking midfielder / Forward

Huyu ndie Arnaldo Ariel Ortega a.k.a El Burrito, jamaa alikuwa fundi mmoja hatari sana kutoka (LEDESMA, JUJUY) Nchini ARGENTINA, kwa wale waliomshuhudia Mubashara enzi zake au kupitia Youtube, jamaa lilikuwa linachanja mbuga, mabeki wanadondoka hovyo mwanaume anatembea na ball kama hana akili. JEZI NAMBA 10 HIYO ☺.

Style of play
A highly creative player with excellent technical ability, Ortega was well known for his pace, mobility, dribbling, and skills from dead ball situations, as well as his ball trickery, clever body feints, and lobbed shots. At his prime he was one of the best dribblers in the world; primarily deployed as an attacking midfielder, Ortega was an effective playmaker due to his vision and passing ability, which earned him comparisons with Maradona as a youth. Along with his skills, Ortega was infamously temperamental, and he was criticised throughout his career for not living up to his potential.[22]

Ebu ingia kidogo YouTube ujionee mambo 👇🏿

Cc: Mussolin5
 
Kumbukumbu nzuri! Zamani kulikua na magwiji hasa, umenikumbusha pia Ivan Zamorano wa Chile na Faustino Aspirilla wa Colombia
Hapo Chile ulikuwa unawakuta Ivano Zamorano na Marcelo Salas. Ilikuwa ni kombinenga la hatari.

Colombia unakutana na Tino Asprilla akikiwasha Newcastle Utd pia.

Ukienda kule Paruguay unakutana na gwiji, mlinda mlango matata, Jose Luis Chilavert.

Argentina sasa, sijui hata niseme nini, mafundi wa kutosha, kuanzia zama za akina Ortega, Killy Gonzalez, Fernando Redondo "Mchawi wa Kiargentina" mpaka zama za akina Saviola, Pablo Aimar, Veron, Riquelme na sasa Messi.
 
Usimsahau Gabriel batistuta
 
Juan Sebastian Veron

Batistuta a.k.a Bati goals!

lakini Argentina huwa basi tu ilipaswa baada ya kuiongelea Brazil timu inayofuata kuiongelea iwe Argentina na sio Ujerumani wala Italia.
jurgen klisman, lothar mathaus,roud voller, frenz beckanbaur hao wachache kwa upande wa ujerumani... del piero, Roberto baggio,christian vieri, genaro gatusso, philipo inzaghi hao ni wachache kwa upande wa italia.... point yangu ni kwamba.. ukiifananisha Argentina na italia au ujerumani kwa vigezo vya mchezaji mmoja mmoja huku pia wapo. Na ukumbuke italia na ujerumani zimechukua kombe la dunia mara nyingi kuliko Argentina. Na ndio sababu ikitajwa Brazil basi inayofuata ni ujerumani na italia
 
Hapo kwenye bolded items ndio sababu ya mimi kusema “ilipaswa”. Yaani ingelikuwa sio hivyo tungelikuwa tunaongelea Argentina kabla ya hizo timu mbili.

Na kwa ufafanuzi zaidi ni kwamba Argentina imewahi kuwa na vizazi bora mara nyingi zaidi kulinganisha na hizo timu mbili zingine na kwa kigezo hiki ilipaswa kuwa ni timu iliyochukuwa WC mara nyingi baada ya Brazil.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom