Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Huyu nae anajiita mwakilishi wa wananchi

Discussion in 'Jamii Photos' started by jchofachogenda, Jun 1, 2012.

 1. jchofachogenda

  jchofachogenda JF-Expert Member

  #1
  Jun 1, 2012
  Joined: Jan 8, 2012
  Messages: 490
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Kumbe wanaolala mjengeni ni wengi, inavyoonekana anaota ndoto hapo.Ni bora Mh.Spika angekuwa anauliza maswali kwa wabunge wakati hoja zikiendelea kama shule ya msingi. Mfano,Spika"Mh kapten tunajadili hoja gani sasa hivi? Mh Kapten"si tunajadili tuongezewe posho, ziongezwe tu kwani tunafanya kazi ngumu ya kutetea wananchi"
  [​IMG]
   
 2. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #2
  Jun 1, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,378
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 145
  I hate tummys! U look stupid even if u r not!
   
 3. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #3
  Jun 1, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 32,050
  Likes Received: 7,070
  Trophy Points: 280
  anamwakilisha LULU ..so LULU sio mwananchi?
   
 4. M

  Midavudavu JF-Expert Member

  #4
  Jun 1, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 283
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hajalala huyo bali anatafakari majibu ya mawaziri bungeni huku akiwa amefumba macho. Siyo kila aliyefumba macho amelala!
   
 5. Ambitious

  Ambitious JF-Expert Member

  #5
  Jun 1, 2012
  Joined: Dec 26, 2011
  Messages: 2,014
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Tatizo la vibonge hawakawii ''ku-hibernate''.Na pia huyu mwanamuziki inawezekana jana yake alikuwa na show ya kukesha.
  Pia vidogo-dogo vinabadilisha gear haraka sana inawezekana alichelewa kukanyaga clutch akachwa mbaaaali.
   
 6. ndenga

  ndenga JF-Expert Member

  #6
  Jun 1, 2012
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 1,604
  Likes Received: 182
  Trophy Points: 160
  Mara nyingine deep thinking zinasababisha watu wafunge macho. Ila kama mnajadili posho sidhani kama kuna deep thinking.. Nashauri urushwaji wa LIVE wa vikao vya bunge usitishwe maana hii itakuja kuwa aibu sana kwa wawakilishi wetu kuna siku tutaona vituko zaidi mjengoni. Watu wana mambo mengi sana pale Dodoma kiasi kwamba by the time anakuja kwenye kikao anakuwa hoi sana...!
   
 7. Edoedward1

  Edoedward1 JF-Expert Member

  #7
  Jun 1, 2012
  Joined: Apr 20, 2012
  Messages: 796
  Likes Received: 205
  Trophy Points: 60
  hhahaahaa hivi mtu mzima,mheshimiwa,unawakilisha watu,una elimu kichwani,unaonekana live kwa TV,una watu unawaheshimu nje na ndani ya bunge all that unaweka kando unathamini usingizi?Shame upon him.his family,his party and above all his constituence.
   
 8. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #8
  Jun 1, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 22,399
  Likes Received: 13,905
  Trophy Points: 280
  Alijitetea kuwa alikua anaiombea nchi.

  Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
   
 9. tz1

  tz1 JF-Expert Member

  #9
  Jun 1, 2012
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 2,102
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  N hawa je?
  View attachment 55153
   
 10. J

  Jibaba Bonge JF-Expert Member

  #10
  Jun 1, 2012
  Joined: May 6, 2008
  Messages: 1,188
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  Akikurupushwa hapo na sauti ya spika "wanaoafiki waseme ndiyooo" utamsikia ndiyooooo huku akigonga meza. upuuzi kabisa.
   
 11. Dotworld

  Dotworld JF-Expert Member

  #11
  Jun 1, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 3,904
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 145
 12. Mama Yeyoo

  Mama Yeyoo Senior Member

  #12
  Jun 1, 2012
  Joined: Mar 25, 2012
  Messages: 101
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Inawezekana humo mjengoni walipulizia dawa ya usingizi...haiwezekani wakorome namna hiyo...
   
 13. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #13
  Jun 1, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,873
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  He is just mwanakwaya na sio mwanamuziki.
   
 14. Ta Kamugisha

  Ta Kamugisha JF-Expert Member

  #14
  Jun 1, 2012
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 2,643
  Likes Received: 523
  Trophy Points: 280
  Amekuwa sungura?
   
 15. m

  manasa Member

  #15
  Jun 1, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 88
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jamani alafu kikao kikiisha anadai posho kwa lipi haswa alichofanya hapo ndo ufisadi huu si lazima uibe hata kuto tendea haki waliomchagua ni ufisadi tosha...
   
Loading...