Huyu nae alikuwa mtumishi hewa?

njundelekajo

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
310
227
HUYU ALIKUA MTUMISHI HEWA?

Nguzo Noel .R.

Mbatia anadai ckwa miaka 10 aliyoajiriwa magogoni siku 2,045 alikua "nje ya ofisi"
Alisafari Mara 409 akitumia wastani wa siku nne KWA kila safari

UNAKUMBUKA MLINGANYO?(drs3)

Siku 365 = mwaka 1
Siku2045=miaka ?
2045÷365=5.60273973(miaka 5 na 6)

Aliajiriwa kwa mkataba wa miaka 5*2=10

Miaka 10 = na siku 3650
Hakuwepo siku 2045
3650-2045=1605(ndo siku alizokuwepo)

1) Katika siku 3650 alizotakiwa awe ofisini yeye alikaa siku1605

2.) 56% ya muda wake alitumia nje ya
ofisi

3.)Jumla ya trilion 4.5 zilitumika kwenye safari hizo(mara 3 ya Pesa tulitoswa kwenye m.c.c.)

..waliposema kina fulani WAKAPINGWA Ila aliposema "ngosha " WAKAAMINI.

......jokes!!! wasalime mzee wangu we miss you badly aisee ..ulikua fair sana kipenz chetu

Nguzo Noel .R.
 
Lumumba Fc hapo hawaelewi chochote,maana elimu zao za magumashi,wamejaza division five na GPA za 0.01 kwenye makabati. Teama Lumumba hapo ni vumbi tu,ndio maana hawaonekani hapa.
 
Nakumbuka Ngosha alisema "kuna watu wamesafiri nje ya nchi mara nyingi zaidi ya walivokwenda kuwasalimu wazazi wao kijijini" sasa kama mtu amesafiri zaidi ya nusu ya muda wa mkataba wake huyo si ni wazi kuwa amekwenda nje ya nchi mara nyingi zaidi ya alivokwenda kwao.
 
HUYU ALIKUA MTUMISHI HEWA?

Nguzo Noel .R.

Mbatia anadai ckwa miaka 10 aliyoajiriwa magogoni siku 2,045 alikua "nje ya ofisi"
Alisafari Mara 409 akitumia wastani wa siku nne KWA kila safari

UNAKUMBUKA MLINGANYO?(drs3)

Siku 365 = mwaka 1
Siku2045=miaka ?
2045÷365=5.60273973(miaka 5 na 6)

Aliajiriwa kwa mkataba wa miaka 5*2=10

Miaka 10 = na siku 3650
Hakuwepo siku 2045
3650-2045=1605(ndo siku alizokuwepo)

1) Katika siku 3650 alizotakiwa awe ofisini yeye alikaa siku1605

2.) 56% ya muda wake alitumia nje ya
ofisi

3.)Jumla ya trilion 4.5 zilitumika kwenye safari hizo(mara 3 ya Pesa tulitoswa kwenye m.c.c.)

..waliposema kina fulani WAKAPINGWA Ila aliposema "ngosha " WAKAAMINI.

......jokes!!! wasalime mzee wangu we miss you badly aisee ..ulikua fair sana kipenz chetu

Nguzo Noel .R.

Hahahahahahahaa aisee kweli
 
Hahaha! Majipu ni mengi sana katika nchi hii, huyo mtumishi hewa aliwezaje kulipwa mshahara wa mwezi mzima? Tumuombee Rais wetu anachosema anamaanisha.
 
Back
Top Bottom