Huyu Mzee Matonya aliyepata msamaha wa Rais ni nani na alifanya kosa gani?

Msambwata

JF-Expert Member
Nov 20, 2017
1,307
1,499
Wanabodi,

Awali ya yote naomba kutoa shukurani za dhati kwa Mh Rais kwa msamaha kwa ndugu na jamaa zetu wote ingawa najua future yao ipo mashakani sana.

Ila naombeni kujuzwa huyu Mzee Matonya (85) alikuwa nani na alifanya kosa gani hadi akaukumiwa maisha jela?

Naombeni elimu.
 
Kaka wa yule Matonya omba omba!
 
Kama amekaa mahabus miaka 7,then akahukumiwa maisha halaf akatumikia kifungo miaka 37 hawez kuwa yule omba omba,ina maana kahukumiwa wakat mm nazaliwa na hyu matonya ombaomba nilishamwona kwa macho,so nadhan ni mtu mwngine ila majina yamefanana
 
Wakati napitia kwenye kesi ya mwaka Volume Index 1967 - 1968 kuna jina nalijua linaitwa matonya Chima ambapo kuna case ya namna hii sasa sijajua kama ina mahusiano na hilo kwani jina la kwanza la huyo mzee sijalijua

98. Matonya Chima v.R. Crim. App. 89,90,91-D-67; Duff, J
Accused, aged fourteen sixteen and seventeen years respectively, were convicted
of rape. (P.C., ss. 13,130.) All three were sentenced to twelve months’
imprisonment, the magistrate stating that two were adults while the third was a
young person.
Held: (1) Section 22 of the Children an Young Persons Ordinance, Cap.
13, prescribes that no young person shall be imprisoned unless the court considers
that “none of the other methods of punishment are suitable.” The Court
stated, “A more appropriate punishment would have been corporal punishment.”
(2) The sentences of all three were set aside, and sentences substituted so as to
result in their immediate release.

pia kuna kesi nyingine ya jina la matonya ila hii inaonyesha yeye kuuwawa sasa sijui jina lake ni lipi

The accused was charged with the murder of Mrimba Matonya. The accused
lived at Manzase with his wife. For about four months before the events which
led to this change he had suspected her of infidelity. He thought she was
having an affair with an Mgogo man and had reported the matter to Mwajuma
Athumani who was the ten cell leader of the area. Mwajuma called the wife,
Elizabeth, and spoke to her but she denied the affair. There was, however,
clear evidence of some degree of familiarity between her and the deceased.
Juma Issa, a bar man at a Manzese bar, says that he knew Elizabeth and the
deceased quite well and that he saw them frequently at the bar. Usually they
arrived together and left together. On the 2nd June, 1968 they came together
at about 8 p.m. and sat in the compound of the bar drinking. He left them
there to go to purchase cigarettes. When he returned about 9.15 p.m. there
was a great deal of commotion about the bar. He saw the deceased lying
near a house which is adjacent to the bar. He had a stop wound on his chest
and was bleeding heavily. On that very night the accused called at Mwajum’s
house at about 9 p.m. He had a knife in his hand. He told her that he had
found the people for whom he had been looking that he had stabbed them.
She enquired who the persons he meant were. He said his wife and the
Mgogo man. The following day the accused made a statement in which he
said that for some time his wife had been in the habit of sleeping away from
home without telling him where she was going. Eventually he received
information that she was having an affair with Mgogo man.
 
Hivi Inaruhusiwa kisheria kusamehe Wauaji na Wabakaji ?
 
Kama amekaa mahabus miaka 7,then akahukumiwa maisha halaf akatumikia kifungo miaka 37 hawez kuwa yule omba omba,ina maana kahukumiwa wakat mm nazaliwa na hyu matonya ombaomba nilishamwona kwa macho,so nadhan ni mtu mwngine ila majina yamefanana

duh! inamaana watu hawako informed kiasi hiki kukumbuyka kuwa matonya omba omba alifia morogoro kitambo.
 
Hili suala lina mengi

Katika kampeni Lowasa alisema atamtoa upande ule ukapinga sana tena sana

Leo Magu kamtoa upande ule nao utapinga sana na sana

Mimi bado napinga Uamuzi wa Magufuli wa kuwasamehe kina Babu Seya hata Kama ni uamuzi halali!

Nategemea Mashirikia ya haki za Watoto wapinge nao!

Watu wameenda mpaka Court of appeal na wamefanya review ya Kesi bado wamekutwa na hatia Halafu wanaachiwa kwa kweli sijaipenda hata Kama Rais Ana haki hiyo!
 
Issue ya Wakina babu seya mm mpaka leo Niko
Nutro .....mpaka sasa wenyewe hawajakiri kama ni kweli walifanya vile vitendo,mahakama ilipowaona wana hatua na kuwahukumu bado wenyewe Wakina nguza hawajawahi kukiri mbele ya public kwa hawajafanya tendo lilo..
Labda sahivi watauweka ukweli hadharani

Ova
 
Back
Top Bottom