Huyu Mzee kwa kufurahi na kufurahisha watu yuko vizuri

mngony

JF-Expert Member
Jul 27, 2012
5,193
6,381
Namuona Mzee wa Msoga juzi akiwapunguzia wenzake majonzi kwenye msiba wa Mzee Pinda, naona kila aliyekuwa karibu alishindwa kuzuia tabasamu. Sijui huwa anawaambia nini wazee wenzake mpaka kuwafanya wakenue namna hii. Ni kipaji au ?
RG1A4818.JPG
RG1A4858.JPG
RG1A4827.JPG
RG1A4740.JPG
 
JK:- Eti jamani na nyie mmenikumbuka..???

Pinda,P.M,etc.:Teteteteteteeeh
 
Namuona Mzee wa Msoga juzi akiwapunguzia wenzake majonzi kwenye msiba wa Mzee Pinda, naona kila aliyekuwa karibu alishindwa kuzuia tabasabu. Sijui huwa anawaambia nini wazee wenzake mpaka kuwafanya wakenue namna hii. Ni kipaji au ? View attachment 441623 View attachment 441624 View attachment 441625 View attachment 441626
Huyu mzee simpendi mpaka kesho kutwa aisee ukijua yaliyokuwa yanafanyika chini yake Inaumiza sana lakini kwa sababu tumeambiwa kusamehe acha ajipumzikie zake.
 
Mbona mzee Kinana kaotesha embe dodo kubwa hivyo? Kampeni 2015 alikuwa amekonda sana.Sasa kapumzika anaandika namba tu tunazisoma
Kinana nywele zenyewe ziko kisogoni kabisa. Kwa hiyo akinyoa atazitoa tu zote na itakuwa kipara
 
Jk Ana ucheshi wa kuzaliwa! Hata alipokutana na Wanaomchukia aliishia kuwachekesha, Rejea Juice ya Ikulu na Bashasha la Wanywaji
 
Jk Ana ucheshi wa kuzaliwa! Hata alipokutana na Wanaomchukia aliishia kuwachekesha, Rejea Juice ya Ikulu na Bashasha la Wanywaji
Ila watu wanao furahi na kucheka mda wote sio wazuri, maana hujui mda gani kakasirika
 
Huyu mzee simpendi mpaka kesho kutwa aisee ukijua yaliyokuwa yanafanyika chini yake Inaumiza sana lakini kwa sababu tumeambiwa kusamehe acha ajipumzikie zake.
Acha mambo yako, umpende kwani umekuwa mke wake? Unaudhi kweli kujifanya unaijua nchi sana kumbe bure tu!
 
Kila mtu ana kipaji chake watu wengine hata wakicheka hauta wagundua
 
Jk hivi Pinda ukiangalia hali ya
Sasa hivi na kipindi chetu unaichukuliaje?
Pinda haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Yani jk kama ulijua kulileta hili
Tingatinga pamoja na Majaliwa
Wanafiki tumewajua
Kwa pamoja haaaaaaaaaaaaaaa Na bado mpaka wakome
 
Duh
 
Back
Top Bottom