Huyu Mwigulu Nchemba ni nani haswa?

atawatesa sana wapinzani huyu jamaa.ni kati ya vijana wachache ambao wako focused.kwa ufupi kichwa chake ni kizima

Alikuwa kilaza fulani tu UD katika siasa za DARUSO hakuwa kitu.Wakali akina Zitto,Msando aka Alberto,Intellectual,Ruge etc.
 
Hao wake za makada nao malaya tukwani wamelazimishwa mwigulu wagongee yai ila usiibe hela za serikali tu.
 
C70F98E2-1442-4B65-856A-7EF97D733B04.jpeg
81AE619B-57D0-464B-B826-2043DF505C6C.jpeg
 
Bitabo huyu jamaa ana nyota ya pekee tofauti na mtoa maada alivyomwita, mimi nilikuwa naeiliboru nikiwa kidato cha 5 yeye cha 3 jamaa alipewa ukaka mkuu HP na kuweka historia kuwa HP wa kwanza na wapekee tokea o level.

Alitukonga nyoyo hasa baada yakutengua utaratibu wa watahiniwa kwenda EK bustan na kwenye ng'ombe na nguruwe.

Mdogo wangu alikuwa nae mazengo kama unavyosema kichwan iko njema jamaa alikuwa katibi mkuu huku darasani akikimbiza na 1 mara . In fact jamaa alitakiwa afundishe chuo kikuu
Bado huyu mwigulu anakukonga nyoyo?
 
Mara baada ya kuteuliwa kwenye uongozi wa juu wa CCM akateuliwa kuongoza timu ya CCM kwenye uchaguzi mdogo wa Igunga. Na kwa sasa ameanza kusikika Arumeru.

Kwa tetesi nilizonazo: Kihistoria amekuwa ni mtu anayependa sana madaraka (Km Zitto), kwani tokea akiwa sekondari (Mazengo), Chuo Kikuu UD, BOT amekuwa akijulikana kufanya kampeni za kumwingiza kwenye madaraka. Hata ubunge wake alioupata Iramba Magaharibi inasemekana alianza kampeni kabla hata ya wakati.

Tungependa kujua vizuri huyu ana nia njema kweli, kwani anaonekana kuwa "madarakamonger" zaidi ya inavyotakiwa.
Ni muhuni fulani, jambazi, muuaji, mpenda madaraka, na mchawi .
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom