Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,565
- 188,766
Pole sana dada yangu
Ndiyo maana nikauliza hivi kuna wanawake hawawezi kuishi kwa raha bila kula pesa ya wanaume.Kama unaweza kujihudumia kwanini utake pesa ya kupewa? Sidhani kama anakula chakula cha gharama kubwa kiasi kwamba anakutia hasara. Kama kweli wampenda endelea naye ukiwa umeshajipanga kisaikolojia kwamba unapaswa kuendelea kujihudumia na si kuhudumiwa na huyo mchumba wako.
Ukiona vyema mpe hiyo sh.40,000/= ila siyo lazima maana ni pesa yako na una hiari ya kumpa au kumnyima.
Dhana ya utegemezi bado inawaandama wanawake wengi!Ndiyo maana nikauliza hivi kuna wanawake hawawezi kuishi kwa raha bila kula pesa ya wanaume.
Huyu anafanya biashara kwanini asim-shit huyo kidume kisha akaendelea na maisha yake?
AiseeeSwali la utangulizi:
Naomba niulize hivi kuna wanawake wakikaa na kuishi bila kutumia pesa ya mwanaume kwao maisha hayaendi?
Mchango:
Anakulalia ni vibaya kama anakula hadi kwako ila kusex na wewe sio guarrantee ya kulipwa labda kama unamuuzia.
Habari zisizo rasmi zinasema [HASHTAG]#joseverest[/HASHTAG] yuko kwenye maandalizi ya mtihani wa kidato cha nne.Siku izi unalala sana joseverest
na wakikusoma hawa viumbe utaisoma nambaTatizo liko kwako, wala humpendi unaogopa umri wako kwenda. Huna malengo nae wala ndo maana walalama, halafu kuna baba mtoto anatunza mwana yaani hapo ni kizungumkuti!!!
Usimgande mtu sababu ya umri wako, utajuta. Mwenyewe labda keshakusoma ndo maana ya yote hayo
Shem ukamali ndiyo nini nami umeniacha niambie kisha nami nitakuambia.Aiseee
shem bhana, yaan umeandika ukamali?
zungumza zungumza bhana akuelewe ujue hata mimi sijaelewa vzr
hahahahahahahaShem ukamali ndiyo nini nami umeniacha niambie kisha nami nitakuambia.
Hahahaaa!! Wanaume siku hizi wamekuwa mafurushi si kidogo.Umeoa huyo, acha kumuendekeza piga chini labda km hutongozeki mvumilie ivo vidume sijawahi kuviona walahi au huwa mnatupa chai tu humu!!!
Oouh,.... Umeona swali langu hapo juu lakini? Nijibu basihahahahahahaha
ukamaliza
teh teh
Sasa unakuwa na huyo mwanaume wa nini!! Si bora uwe mwenyewe tu lijulikane moja.Swali la utangulizi:
Naomba niulize hivi kuna wanawake wakikaa na kuishi bila kutumia pesa ya mwanaume kwao maisha hayaendi?
Mchango:
Anakulalia ni vibaya kama anakula hadi kwako ila kusex na wewe sio guarrantee ya kulipwa labda kama unamuuzia.
Sio mafurushi kwa jinsia zote kuna mifurushi sio wanawake na wala sio wanaume.Hahahaaa!! Wanaume siku hizi wamekuwa mafurushi si kidogo.