Huyu Mwanaume ana Two Personalities

Haaahaaaa....tunajisikia huru kama tumejificha kwa screen kuliko kujitokeza hadharani
 
Kiukweli nmeshangaa sana. Ni mmoja ya watu ambao miaka mingi nmekuwa niki wa admire sana humi JF. hasa kwa stories zake na vituko mbalimbali.

Jana nlipata nafasi ya kukutana naye kupitia kwa rafiki yangu. Tulikaa sehemu wakawa wao wanaongea nami nmetulia tu. Nina mtu ambaye namfaham humu JF ambaye amekuwa akiandika makala za kuelimisha sana.

It was lunch time mimi sababu ni ramadhani sikula kitu lakin nlihudhuria meeting sababu ilikuwa na manufaa pia kwangu.

Baada ya kuagana sikuamini aliponiuliza "sister unamfahamu yule kaka tuliyekuwa tunaongea naye?" Nlimjibu simfaham. Akanambia ni .......

Wallah... Nilikataa mpaka mwisho. The man wa so different. Mpole mwenye aibu kiasi. Na anaongea kwa utulivu tofauti na alivyo humu ndani. Humu nampenda kutokana na stories zake zs utundu mwingi na mikasa mbalimbali aliyokutana nayo katika maisha.

Lakini jana nlimwona mtu mmoja wa tofauti kabisa ambaye si kama ambavyo nlitegemea awe. Nadhani huyu jamaa ana multiple personalities. Si wa kawaida. Nmeogopa sana na kuwaza haya mambo yapo. Haiwezekani awe tofaut kabisa na kile ambacho huandika.

Humu ndani tusiaminiane sana rafiki zangu na kaka zangu. Some people sivyo wanavyoonekana. Nina wasiwasi hata majini yatakuwemo humu.


Bila shaka ni Cc zero iq
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom