Mwishowao
Senior Member
- Oct 13, 2010
- 192
- 57
Angalia hii
Ni mwanaharakati,mwanasiasa mzuri tu lakini kajikwaa wawezaje kutoa hoja ya kusimamisha kikao endelevu cha bunge bila kufuata mstakabari wa sheria? Jamaa kasimama na kuomba bunge liahirishwe kutokana na kifo cha Mandela huko afrika ya Kusini,ni nini hiki utumwa au?... Mw.Nyerere alipokufa SA hata hawakuchetuka vile,iweje sie, na kama spika angebariki hilo naamini siku moja tungeahirisha shughuli za ujenzi wa taifa labda tu mtoto wamkubwa fulani ama ndugu wa karibu kafariki.
Nampongeza spika wa Bunge Anna Makinda kwa kutoa mwongozo ambao huyu mwanasheria mkubwa alizibika na kuelewa ila naanza kupata wasiwasi kwa nini kabla hujatoa hoja zisipitiwe na timu nzima ya CHADEMA na kukubali ikatolewe kabla ya kushusha integrity kama ilivyotokea siku hiyo??.. maana hii inareflect chadema wote,hivyo basi ushauri wa bure nyie wansiasa wakubwa kuweni makini na matamshi/kauli zenu.Sio eti ohoo nimeona,nimesikia ukiulizwa hata kama ni issue ndogo ya kuimaliza utasikia nipeleke mahakamani,jamani kuweni makini mie kama mwanachadema inaniuma sana mnapokurupuka.