Huyu mwanasiasa mashuhuri na maarufu mbona anakurupuka (lawyer-TUNDULISU vipi???...)

Mwishowao

Senior Member
Oct 13, 2010
192
57
Angalia hii

Ni mwanaharakati,mwanasiasa mzuri tu lakini kajikwaa wawezaje kutoa hoja ya kusimamisha kikao endelevu cha bunge bila kufuata mstakabari wa sheria? Jamaa kasimama na kuomba bunge liahirishwe kutokana na kifo cha Mandela huko afrika ya Kusini,ni nini hiki utumwa au?... Mw.Nyerere alipokufa SA hata hawakuchetuka vile,iweje sie, na kama spika angebariki hilo naamini siku moja tungeahirisha shughuli za ujenzi wa taifa labda tu mtoto wamkubwa fulani ama ndugu wa karibu kafariki.

Nampongeza spika wa Bunge Anna Makinda kwa kutoa mwongozo ambao huyu mwanasheria mkubwa alizibika na kuelewa ila naanza kupata wasiwasi kwa nini kabla hujatoa hoja zisipitiwe na timu nzima ya CHADEMA na kukubali ikatolewe kabla ya kushusha integrity kama ilivyotokea siku hiyo??.. maana hii inareflect chadema wote,hivyo basi ushauri wa bure nyie wansiasa wakubwa kuweni makini na matamshi/kauli zenu.Sio eti ohoo nimeona,nimesikia ukiulizwa hata kama ni issue ndogo ya kuimaliza utasikia nipeleke mahakamani,jamani kuweni makini mie kama mwanachadema inaniuma sana mnapokurupuka.
 
na waliosema bendera ya TZ, USA nk. zishushwe nusu mlingoti je pia ni wapumbavu?, wee ndio umekurupuka na chuki zako binafsi. Mburula tu wee!
 
Unajua maana ya TRIBUTE acha chuki tufikie mahala tuongee fact,sio siasa

Alivyokufa Mw.Nyerere south afrika walitakiwa kufanya hayo maana nguvu aliyoitoa Mw. SA ni kubwa mno na huenda sehemu fulani ya umasikini uliopo TZ hawa jamaa wamecontribute,
Tuache utumwa usio maana TRIBUTE ilifanyika na Half mast flag ilifanyika inatosha,tuache mijadala isiendelee maajabu sana inaonyesha huyu jamaa yuko bungeni lakini hajajipanga kwa ajili ya session.
 
Angalia hii

Ni mwanaharakati,mwanasiasa mzuri tu lakini kajikwaa wawezaje kutoa hoja ya kusimamisha kikao endelevu cha bunge bila kufuata mstakabari wa sheria? Jamaa kasimama na kuomba bunge liahirishwe kutokana na kifo cha Mandela huko afrika ya Kusini,ni nini hiki utumwa au?... Mw.Nyerere alipokufa SA hata hawakuchetuka vile,iweje sie, na kama spika angebariki hilo naamini siku moja tungeahirisha shughuli za ujenzi wa taifa labda tu mtoto wamkubwa fulani ama ndugu wa karibu kafariki.
Nampongeza spika wa Bunge Anna Makinda kwa kutoa mwongozo ambao huyu mwanasheria mkubwa alizibika na kuelewa ila naanza kupata wasiwasi kwa nini kabla hujatoa hoja zisipitiwe na timu nzima ya CHADEMA na kukubali ikatolewe kabla ya kushusha integrity kama ilivyotokea siku hiyo??.. maana hii inareflect chadema wote,hivyo basi ushauri wa bure nyie wansiasa wakubwa kuweni makini na matamshi/kauli zenu.Sio eti ohoo nimeona,nimesikia ukiulizwa hata kama ni issue ndogo ya kuimaliza utasikia nipeleke mahakamani,jamani kuweni makini mie kama mwanachadema inaniuma sana mnapokurupuka.

Kabla hajasema chochote awe anaenda kwa zitto kujifunza maana zitto anabusara sana na huwa hakurupuki
 
Zitto ni jembe na tukimdrop tu tunaumia,jamaa huja na maada za ukweli,kitu ambacho mpaka sasa huwa kinaniuma ni issue ya DOWANI alisema tutaghalimika na kweli tukakataa kinunua sasa tunalipa mabilioni ya walipakodi baada ya kubadilishwa na kuitwa SYMBION.
Ni aibu sana ona ya LISSU eti mwanasheria mkuu hajasoma mtu ameongoza kwa mda mrefu ana experience ya kutosha leo unakuja na maada eti hajasoma mara alifoji sekondari,hiki ndo nini sasa,huu ni ubinafsi na chuki zisizo maana mnatakiwa muangalie ni maada ipi inayoweza kuhit jamii moja kwa moja.
 
Angalia hii

Ni mwanaharakati,mwanasiasa mzuri tu lakini kajikwaa wawezaje kutoa hoja ya kusimamisha kikao endelevu cha bunge bila kufuata mstakabari wa sheria? Jamaa kasimama na kuomba bunge liahirishwe kutokana na kifo cha Mandela huko afrika ya Kusini,ni nini hiki utumwa au?... Mw.Nyerere alipokufa SA hata hawakuchetuka vile,iweje sie, na kama spika angebariki hilo naamini siku moja tungeahirisha shughuli za ujenzi wa taifa labda tu mtoto wamkubwa fulani ama ndugu wa karibu kafariki.

Nampongeza spika wa Bunge Anna Makinda kwa kutoa mwongozo ambao huyu mwanasheria mkubwa alizibika na kuelewa ila naanza kupata wasiwasi kwa nini kabla hujatoa hoja zisipitiwe na timu nzima ya CHADEMA na kukubali ikatolewe kabla ya kushusha integrity kama ilivyotokea siku hiyo??.. maana hii inareflect chadema wote,hivyo basi ushauri wa bure nyie wansiasa wakubwa kuweni makini na matamshi/kauli zenu.Sio eti ohoo nimeona,nimesikia ukiulizwa hata kama ni issue ndogo ya kuimaliza utasikia nipeleke mahakamani,jamani kuweni makini mie kama mwanachadema inaniuma sana mnapokurupuka.

huyu ni mropokaji wa mbowe,ndio waliochangia kusimamishwa kwa zito.wabunge wanaomuunga mkono mbowe uwa ni mambulula,wanapigana sana
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom