Huyu mwanasheria wa Donald Trump amenikumbusha swaga za Tundu Antipas Lissu!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
44,959
2,000
Kuwa mwanasheria ni jambo moja lakini kuwa na uwezo wa kuichambua sheria kifungu kwa kifungu ni jambo lingine kabisa.

Niko natazama mubashara impeachment trial ya Donald Trump hakika huyu mwanasheria David Schoen wa Trump ni kiboko. Amenikumbusha uwezo wa Tundu Lissu katika kuchambua vifungu vya sheria.

Aisee duniani kuna mafundi wa sheria, kumbe Lissu anajua.

Maendeleo hayana vyama!
 
Bulesi

Platinum Member
May 14, 2008
10,302
2,000
Unamsifia huyu David Schoen kuwa ni kiboko, hukuwasikia wale impeachment managers walivyochambua sheria na sababu za kumimpeach DON TRUMP? Yule manager mweusi alichambua precedents za impeachment huko nyuma kitaalam kweli; wazungu wakawa wanang'aa macho! Fuatilia kesho uone sheria zinavyochambuliwa.

Je unajua kuwa wazazi wa huyo lawyer Neguse ni wahamiaji toka East Africa?
 
Muuza viatu

JF-Expert Member
May 14, 2020
1,279
2,000
Unamsifia huyu David Schoen kuwa ni kiboko, hukuwasikia wale impeachment managers walivyochambua sheria na sababu za kumimpeach DON TRUMP? Yule manager mweusi alichambua precedents za impeachment huko nyuma kitaalam kweli; wazungu wakawa wanang'aa macho! Fuatilia kesho uone sheria zinavyochambuliwa.
Duuuu!!!!! Huyo mweus nilimuona lkn sikujua yy ni upande upi kutojua lugha tatizo kweli
 
sky soldier

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
1,895
2,000
Kwakweli yupo poa sana, kasema senators wajitafakari maana ni extra ordinary people ambao majimboni mwao wana title nzito na wapo cool headed sana, leo hii democrats wanamfanyia hivi trump bila kujua kwamba hapo mbeleni meza zinaweza kupinduka hata 2022 republicans wakachukua house wakalipiza kisasi kumu impeach biden.
 
zandrano

JF-Expert Member
Jan 24, 2017
2,974
2,000
Kuwa mwanasheria ni jambo moja lakini kuwa na uwezo wa kuichambua sheria kifungu kwa kifungu ni jambo lingine kabisa.

Niko natazama mubashara impeachment trial ya Donald Trump hakika huyu mwanasheria David Schoen wa Trump ni kiboko. Amenikumbusha uwezo wa Tundu Lisu katika kuchambua vifungu vya sheria.

Aisee duniani kuna mafundi wa sheria, kumbe Lissu anajua.

Maendeleo hayana vyama!
Trump kashikwa pabaya, jamaa wana mchimbia shimo refu sana,
Trump hachomoki,
ushahidi unamwelemea sana, matendo aliyo yafanya yako wazina hata kipofu anaweza kujua.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Stefano Mtangoo

Verified Member
Oct 25, 2012
4,914
2,000
Unamsifia huyu David Schoen kuwa ni kiboko, hukuwasikia wale impeachment managers walivyochambua sheria na sababu za kumimpeach DON TRUMP? Yule manager mweusi alichambua precedents za impeachment huko nyuma kitaalam kweli; wazungu wakawa wanang'aa macho! Fuatilia kesho uone sheria zinavyochambuliwa.
 
Stefano Mtangoo

Verified Member
Oct 25, 2012
4,914
2,000
Trump kashikwa pabaya, jamaa wana mchimbia shimo refu sana,
Trump hachomoki,
ushahidi unamwelemea sana, matendo aliyo yafanya yako wazina hata kipofu anaweza kujua.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni lugha ama unazi? Mpaka inafika watu muhimu kama Impeachment Managers wanafanya photoshop ya Tweets na ku edit videos ili kutengeneza ushahidi ujue hawana ushahidi wa kumwelemea. Nadhani hii impeachment itafungua wafungwa wengi sana wa Legacy Media.
Kuna vitu huwa media hazirushi ila itabidi zirushe tu hamna namna :)
 
zandrano

JF-Expert Member
Jan 24, 2017
2,974
2,000
Ni lugha ama unazi? Mpaka inafika watu muhimu kama Impeachment Managers wanafanya photoshop ya Tweets na ku edit videos ili kutengeneza ushahidi ujue hawana ushahidi wa kumwelemea. Nadhani hii impeachment itafungua wafungwa wengi sana wa Legacy Media.
Kuna vitu huwa media hazirushi ila itabidi zirushe tu hamna namna :)
ushahidi wa tweets za truph unaonyesha kila kitu alicho kuwa akisema, mara baaada ya speech yake trh 6 January akihimiza wafuasi wake wote ktk majimbo mbalimbali kwenda Capitol hill kuzuia baraza lisimuidhinishe Baiden, na baadae kweli wafuasi wa Trumph walivamia jengo wakati huo na Makamu wake akiwa ndani, Trump hakuzuia maandamao, hivyo alitaka wajumbe walio kuwamo wauliwe!!......Kama Rais wa Marekani aliaapa kuilinda Katiba Ya Marekani halafu anafanya mambo ya ovyo kiasi hicho!! ameivunjia heshima marekani.
kwakweli sheria ifanye kazi yake maaana akiachiwa anaweza kurudia tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom