Huyu mwanamke simuelewi

Zeddicus

JF-Expert Member
May 5, 2012
627
534
Nipo chuo fulani hapa Dsm,kuna msichana nasoma nae nimezoeana nae sana because most of time we spend together,yeye kashaolewa na ana mtoto mmoja,kanizoea kiasi cha kuniita mimi husband wake,imefika hatua anakuja hadi geto kwangu nakoishi mwenyewe eti tudiscuss..wadau kuna nini hapa nishtueni mapema maana naogopa mambo ya kunasana mimi.
 
Piga kitabu tu Mkuu.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Ile story ya temeke hospital huiamini kabisa?? Haya

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Hapo huo mtego umewekwa hili uchague kuendelea kusoma au kunasa!
 
Inawezekana anataka mgandiane
sababu anajua siku mkija kuganduliwa
wewe utakuwa ushakufa na yeye mzima
angalia mwanangu K ni kishawishi tu
hata mkono unaweza ukafanyakazi yake!!!
 
Shika elimu mwanangu, huyo ni shetwani, tema mwasilika. Vunja urafiki na mazoea kuanzia sasa.
 
Nipo chuo fulani hapa Dsm,kuna msichana nasoma nae nimezoeana nae sana because most of time we spend together,yeye kashaolewa na ana mtoto mmoja,kanizoea kiasi cha kuniita mimi husband wake,imefika hatua anakuja hadi geto kwangu nakoishi mwenyewe eti tudiscuss..wadau kuna nini hapa nishtueni mapema maana naogopa mambo ya kunasana mimi.

hahahaha....wewe usiwe na wasiwasi wa kunatana. mgegede tuu huyo bwana. ila tafadhari kuwa na bunduki pembeni incase unanata basi mnajiua.
 
Mwanangu Zeddicus pole sana. Je wewe unajielewa? Mbona huna macho lakini huoni una masikio lakini huskii. Huyo ni shetani mwenyewe anataka kukudatisha. Mpe laivu kuwa wewe si mumewe na wala hupendi akuite hivyo. Hivyo, hii itamkata stimu na hutamuona akikuzoea wala kukuchangamkia tena. Waingereza huiita to nib in the bud. Mtapikie atakoma mwenyewe na ushankube na ushangingi wake uchwara., Shame on you all!
 
kuna mawili hapo au anakutaka kiukweli au nae ni utani umemzidi....kua mwangalifu tu
 
Kama roho inapenda,piga mashine kwa kutumia ndom mzee,kwan hiyo uwezi kunata itateleza then utoke safely.
 
..chaguo ni lako, hata Adamu alishawishiwa tu na Hawa, hakulazimishwa ale "tunda!"
 
Back
Top Bottom