mbarika
JF-Expert Member
- Apr 1, 2015
- 5,608
- 7,373
Wivu sina ila roho inaumaAstaghafirulilah laadhim...
Mimi ni babu. Nadokoa tu. We kula kwa tani yako mjukuu...
Hata udokozi unauwekea nongwa??
Wivu sina ila roho inaumaAstaghafirulilah laadhim...
Mimi ni babu. Nadokoa tu. We kula kwa tani yako mjukuu...
Hata udokozi unauwekea nongwa??
Hahaha ni sawa tu
Hauna adabu wewe, ningekuwa moderator ningekupiga ban LA miaka 7Pumbavu ww
We babu acha tabia mbaya hujui huyo ni mjukuuu wako
Ndiyo nakula Hapo ww unaleta ushambenga wako nitakutindua mzee
Wewe mwanamke nitakuacha uanze kulia kilio Cha mbwa koko shaur yakoHauna adabu wewe, ningekuwa moderator ningekupiga ban LA miaka 7