halley from city
Member
- Jan 22, 2019
- 88
- 73
Pole sana mtu wangu😔😔😔
Unaweza ukategeshewa mimba uka stuck hapo hapo ushindwe kumkwepa mileleNimesoma stori pamoja na ushauri aliopewa jimmy,ningekuwa ndio mm naona ni simpo tu namgeuza kama malaya pia natomba nasepa bila kutoa kitu yeye mwenyewe akili itamkaa sawa.
Sent using Jamii Forums mobile app
mwanasheria au mwanasaikolojia?Pole Sanaa Jimmy
Nakushauri jaribu kutafuta mwanasheria umueleze hili jambo huenda atakushauri kiundani zaidi....ili baadae isije kukuletea shida maana kwa sasa unatawaliw na hasira zaidi kila unapomuona.....
Ila sisi wanawake ni pasua kichwa kwa kweli..
...."nikamuomba simu nikaweka namba ya demu nikakuta wako na jamaa flan,nikacheki status nyingi wakiwa wanapika pmj,"...
Hivi ikiwa Mimi Sina namba yako Ila wewe una namba yangu, Je, unaweza ku VIEW STATUS KWANGU...???
Sent using Jamii Forums mobile app
Okay,, sawa, Ila kwa uelewa wangu haiwezekani maana hio kipengere kipo kweny privacy, ... Anyway tuache Kama ilivyo Kiongoz!!!Kwenye whatsapp kuna option inauliza nani anaweza kuona status au profile picture. Ni settings tu mzee baba.
Who should view your profile?
Everyone
Contacts only
Selected
Toa ushauri acha mbwembwe...."nikamuomba simu nikaweka namba ya demu nikakuta wako na jamaa flan,nikacheki status nyingi wakiwa wanapika pmj,"...
Hivi ikiwa Mimi Sina namba yako Ila wewe una namba yangu, Je, unaweza ku VIEW STATUS KWANGU...???
Sent using Jamii Forums mobile app
Inawezekana kama hujaweka restrictions zozote kwenye settings....."nikamuomba simu nikaweka namba ya demu nikakuta wako na jamaa flan,nikacheki status nyingi wakiwa wanapika pmj,"...
Hivi ikiwa Mimi Sina namba yako Ila wewe una namba yangu, Je, unaweza ku VIEW STATUS KWANGU...???
Sent using Jamii Forums mobile app
Tafuta pesa we fundi gereji. Wanawake hawataki maelezo ya shida zakoNitofautiane na mtazamo wa wengi.
Mbona naona umasikini ndio adui yako!!
Tuambie ulitaka nani akutunzie mbunye wewe uwe unapunguzia mawazo kwa kuifiligisa?
Mbona binti kakwambia wazi hitaji la MATUNZO!! Unakwama wapi kuelewa?
Hajasema hakupendi! Kwa kudhihirisha hilo anaomba na mpaka kulazimisha vikao vya maridhiano.
Hakunaga demu asiyependa pesa. Labda aishie kujipoza kwa punyereMaisha matamu mpotezee kila jambo hutokea kwa sababu so relax utapendwa tu na demu mwingine
Sent using Jamii Forums mobile app
vidagger nn?Pole mkuu, ingekuwa ni mimi ningeshamnywa kisusio siku nyingi sana. Ila wewe usifanye hivyo.
Mpige marufuku ikiwezekana report hata polisi ili aache kukusumbua.
Akiendelea kuleta uwaki mchome hata vidagger vya mapaja akili imkae sawa.