Huyu mwanamke inapoelekea nitampiga nifungwe bure

Hello,,,

Najua mko poa.

2015 nilimpata huyu dada,nilijenga nae mahusiano vizuri kabisa,nakumbuka kipindi hicho ndo nilikua mwaka wa kwanza chuo,kipindi hicho huyu demu alikua ananipenda kusema ukweli,hakunipendea kitu ila tu alinipenda yeye kama yeye na ndo mana sikumtongoza ila yeye ndo alianzisha mazoea ikabidi nianzishe mahusiano nae baada ya kuonyesha ishara za kunitaka,ni msichana mzuri sana,ana kila aina ya sifa ya kuitwa mrembo,na kwao wananijua hata kwetu pia wanamjua,

Huyu demu niliendelea nae kwenye mahusiano mpk nilivyo maliza chuo 2018,Nilivyo maliza chuo mapenzi yetu yalikua moto moto mpaka nikaacha michepuko yote ya chuo,nilianza kuchukua majukum ya kumhudumia mana nilikua nishamfanya kama mke wangu tayari japo nilikua siishi nae,Ninapo sema kumhudumia namaanisha yani ilifikia hatua mtu yeyote akiugua pale kwao jukum nachukua Mimi mana kipindi hicho nilikua naendesha Bajaj ya nyumban pia nilikua na piki piki yangu niliyo achiwa na marehem mzee wangu,hii piki piki nilimpa dogo flan ili awe ananipa kila Siku 7000,Kwa hyo hela kwangu haikua shida kabisa Kwa kipindi kile,yan dem hata akitaka hela ya kuhemea pale kwao Ilikua ananicheki Mim,Mimi sikua na hiyana ilibidi nichukue hayo majukumu,

Nakumbuka baada ya kufanya kaz ya Bajaj ndan ya miez 6 sikuweza kufanya chochote ila nikagundua pesa namalizia Kwa demu ikabidi nianze kutafuta kaz ili niachane na mambo ya Bajaj,kweli ndan ya mwez mmoja nikapata kaz kwenye kampuni flan ambayo ndo Ilikua imeanzishwa,wakanambia tutakua tunakulipa kadri kampuni inavyo endelea kukua,kweli ilibidi nikubaliane na mshahara wao wa 350K,kumbuka kipindi hicho Niko na demu na namhudumia kama kawaida,

Ile kampuni ndan ya miez 6 nilijikuta nalipwa kama 650K mana nilikua najituma sana,sitaki kueleza nilikuwa upande gan kwenye kampuni ile,Nakumbuka nilivyofikisha salary ya 650k kila mwez nilikua nampa 150k mana nilikua nampa ili anunue mahitaji ya nyumban kwao cz hawakua na baba,walikua wanaishi yeye,mama,na wadogo zake wawili,

Huyu Demu niliendelea nae kwenye mahusiano mpaka mwaka Jana mwezi 1 ambapo mama yangu mzazi aliugua,tulizunguka sana mahospital mpk Kwa waganga ila tatizo likaja kuonekana mhimbili kuwa anatatzo la figo,kumbuka toka mwezi huo Mimi ndo nilikua nazunguka na mama mana ndo nilikua kama mtoto wa mwisho so braza na sister zangu wao kaz yao Ilikua ni kutuma hela tu,

Huo mwez wa 3 mwaka Jana ndo tatizo lilikuja kuonekana,Baada ya tatizo kuonekana ikabidi matibabu yaanze,kama mjuavyo matatizo ya figo yalivyo ya gharama ikawa pesa yote tunayo pata ikawa inaishia hospital,Mara kipimo hiki Mara kwenda agha khan Mara mpewe barua kwenda Regency,ilifikia hatua mpaka tukawa tunashindwa kula mana hela ambazo ndugu zangu wote tulikua tukipata nilikua zinaishia Kwa mama,Lakin Kwa huyu dem nilikua najibana natuma hata 50k,

Baada ya kukaa miezi 4 siko kazin ilibidi niandikiwe barua ya kuachishwa kazi,kwamba hawawez kuendelea kunilipa wakati sipo kazin ila wakanambia wananiingizia 4.8m ili inisaidie,

Kweli baada ya Siku mbili niliingiziwa hyo pesa,Lakin cha ajabu hyo pesa ndani ya mwezi iliisha japo huyu demu nilimtumia laki 3,

Ilifikia hatua simu nikauza,na Dada yangu ambaye nilikua nasaidiana nae pale mhimbili kumwuguza mama nae simu akauza,(Usiombe umwuguze ndugu yako figo)

Nikiwa pale mhimbili naendelea kumwuguza mama,huyu demu alinipgia simu Kwa kisimu changu kidogo nilichobaki nacho akiniomba nimtumie Elfu hamsini,nikamjibu poa huku Kwa akili yangu nikitaka nimtafute mshikaji nijikope ili nimtumie hiyo pesa,ila nafsi ikakataa nikamjibu labda anisubiri mpaka mwisho wa mwezi,akajibu sawa,kesho yake tena akanipgia akaniuliza huna hata elfu kumi hapo nikamjibu sina Ila nikamwomba anivumilie,Nakumbuka zilipita kama Siku tano huku mabadiliko makubwa nikiwa nimesha yaona nikimtext sms anajibu P,k,Ok,pw,

Siku moja huyu demu aliniandikia sms ambayo mpaka Leo nikikumbuka huwa nawachukia wanawake wote ’JIMMY USIPONIHUDUMIA WEWE ATANIHUDUMIA NANI???' Akamalizia Kwa kusema "KAMA UMESHAPATA WANAWAKE WENGINE SEMA ILI NIACHE KUPOTEZA MUDA"

Nakumbuka Siku hyo Ilikua mida ya saa5 usiku nikiwa nimelala kwenye benchi pale mhimbili,hii ya kulala kwenye mabenchi najua wanaijua wale walio wahi kuuguza pale mhimbili,Nilimjibu "POA"

Toka Siku hiyo huyu demu hakuwahi kujibu text yangu na wala kupokea simu yangu,ikabidi nifute namba yake akili yote nikaelekeza Kwa mama mana ndugu wote tulikua tumesha changanyikiwa,

Mwezi wa 7 mwaka Jana kuna jamaa alinitext akaniuliza,,vp jay ushaachana na yule Demu? Nikamjibu hapana,akanambia niingie watsaap nikacheki,ikabidi niende Kwa jamaa flani alikua na duka pale mhimbili nikamuomba simu nikaweka namba ya demu nikakuta wako na jamaa flan,nikacheki status nyingi wakiwa wanapika pmj,pale pale nikasema kimoyo moyo "POA" nikamrudishia jamaa simu yake nikarudi pale kwenye benchi kumsubiri Dada mana daktari alikua ameuita kidogo,nikiwa nimekaa pale kama nusu saa sister akaja analia,nikamwuliza vipi?

Akanipa barua nikaona tume pewa rufaa ya mama kupelekwa India mana ilionekana figo zote zina elekea kufeli,tukakusanyika ndugu wote ikabidi tuuze nyumba ambayo tulijengewa watoto wa kiume na tukauza Bajaj na viwanja vitatu,Naelezea hivi ili mjue uchungu nilionao juu ya huyu demu,

Mwez wa 8 mwaka Jana mama tulimfikisha India nikiwa Mimi na Dada yangu,najua wengi watajiuliza Kwann ni Mimi tu na Dada yangu huyu tulikua tukimwuguza mama!!?? Huyu Dada ndo mkubwa kwetu na Mimi ndo mtoto wa kiume wa mwisho nikifuatiwa na mtoto wa kike,hawa wengine ndugu zangu walikua na wake zao na waume zao,na huyu sister alifiwa na mume wake so ikabidi me na yeye ndo tumwuguze mama japo ndugu wengine hawa Ilikua ni kutoa pesa na kuulizia hali inavyo enda.

Tulivyo mfikisha mama India hali ilizidi kuwa mbaya ndani ya wiki mbili akawa amefariki,
Ndugu walijichanga huku wakatuma pesa tukawa tumesafirisha mwili mpaka Dar then tukachukua gari mpaka mwanza,

Tarehe 4 mwez 9 tuliweza kumpumzisha mama,
Maisha mapya kwangu yakaanza,ikabidi jamaa flan anichukue nikafanye nae inshu za gereji mana muda wote nilikua nafikiria kumuua huyu demu kiasi kwamba kuna Siku nilinunua dumu la petrol ili nikachome nyumba ya jamaa yake usiku wakiwa ndani,usiku huo huo ndo huyu mshikaji akaja kunishauri nijiunge nae gereji mana nilikua sina mwelekeo,

Nikaanza kuwa fundi gereji na usiku nikawa napga bodaboda,nikawa nimemsahau huyu demu mana nikawa nikitaka demu naenda kununua Malaya napita zangu hivi,

Nimefanya kaz ya ufundi mpaka nikawa natumwa kuchukua magari Dar,angalau life langu likarudi fresh,Kwa wiki kufata magari mwili dar ni kawaida sana najikuta napata pesa ya mtu anae kaa ofisin mwez mzima,

Huyu Demu baada ya kuniona maisha yangu Kwa sasa kaanza usumbufu,kawafuata ndugu zangu wote kuwaomba wanikutanishe na yeye nimekataa,Mwez uliopita nilirudi usiku Saa 5 usiku nimetoka Dar nikamkuta kakaa na mdogo wangu,ile dogo Anakuja kunipokea na yeye akaja nikakimbilia ndani kuchukua panga ile narudi huku nalia dogo akanishika wapangaji wote wakatoka baada ya kumskia huyu demu akilia akiomba msaada,

Licha ya kumkanya ila kila Siku anasumbua tu mpaka Kwa ndugu zangu,mpaka kaenda Kwa mama flan ambaye alikua ni rafiki na mama,akaniita ila ajabu kila nikitaka kuwaeleza alichonambia huyu binti kipindi kile najikuta nalia nashindwa kuongea,

Huyu demu kafanya niwe mlevi wa kununua Malaya kiasi kwamba nikimwona demu wa uraiani hata awe mzuri vp hata hamu ya kumtongoza wala sipati.

Kila nikimfikiria huyu Demu Nataman kumfanyia kitu kibaya tu,yan kwenye kichwa changu nahisi Nina deni kubwa la kumfanyia unyama huyu demu.

Imebidi nije humu JF nahis naweza pata washauri wazuri namna ya kudeal na hii situation mana naona kabisa soon Ntakua magereza mana kila nikimfikiria huyu demu nahis kama maisha yangu ili yaende sawa ni mpaka nimfanyie kitu kibaya ambacho atakufa bila kusahau.

Ahsanteni.
fanya mambo yako tu hao akili zao wanazijua wenyewe.
 
Pale ulipomalizia panafurahisha
AFE BILA KUSAHAU. Hahaaa kivipi yaani mtu akifa hasau?

Kwa ufupi unampenda sana huyu mwanamke ndio maana umeshindwa kumtoa moyoni, na yeye pia anajua hilo ndio maana haachi kukufuata.

Ungekuwa humpendi na kumuonea wivu USINGEWAZA KUMUUA ILI USIONE AKIWA NA MUME MWINGINE.

Cha kufanya, amua kuachana nae aendelee na maisha yake na wewe na yako. Vinginevyo samehe mrudiane japo hili ni kosa kubwa litakutafuna maisha yako yote.

ACHANA NA HUYU MALAYA, HAKUFAI KUWA MKE. Ondoa akilini na ukubaliane na uamuzi wako. Ongea na ndugu zako juu ya nini kilitokea na unachukua uamuzi gani pia uwaambie hautaki kuona wakiwa karibu nae.

Kwanza kuwa mkweli ndani ya nafsi yako, kwamba umemwacha. Kama umemwacha acha aishi maisha yake.
 
Kuna watu tulikuwa very polite ,very so innocent Ila wakaja watu fulani kwenye maisha yetu wakatufanya tuwe rude,cruel whatever the bad name u can say
emoji57.png
Mwanzoni tunapenda mno ila tukitendwa tunakua hatari sana
 
Hello,,,

Najua mko poa.

2015 nilimpata huyu dada,nilijenga nae mahusiano vizuri kabisa,nakumbuka kipindi hicho ndo nilikua mwaka wa kwanza chuo,kipindi hicho huyu demu alikua ananipenda kusema ukweli,hakunipendea kitu ila tu alinipenda yeye kama yeye na ndo mana sikumtongoza ila yeye ndo alianzisha mazoea ikabidi nianzishe mahusiano nae baada ya kuonyesha ishara za kunitaka,ni msichana mzuri sana,ana kila aina ya sifa ya kuitwa mrembo,na kwao wananijua hata kwetu pia wanamjua,

Huyu demu niliendelea nae kwenye mahusiano mpk nilivyo maliza chuo 2018,Nilivyo maliza chuo mapenzi yetu yalikua moto moto mpaka nikaacha michepuko yote ya chuo,nilianza kuchukua majukum ya kumhudumia mana nilikua nishamfanya kama mke wangu tayari japo nilikua siishi nae,Ninapo sema kumhudumia namaanisha yani ilifikia hatua mtu yeyote akiugua pale kwao jukum nachukua Mimi mana kipindi hicho nilikua naendesha Bajaj ya nyumban pia nilikua na piki piki yangu niliyo achiwa na marehem mzee wangu,hii piki piki nilimpa dogo flan ili awe ananipa kila Siku 7000,Kwa hyo hela kwangu haikua shida kabisa Kwa kipindi kile,yan dem hata akitaka hela ya kuhemea pale kwao Ilikua ananicheki Mim,Mimi sikua na hiyana ilibidi nichukue hayo majukumu,

Nakumbuka baada ya kufanya kaz ya Bajaj ndan ya miez 6 sikuweza kufanya chochote ila nikagundua pesa namalizia Kwa demu ikabidi nianze kutafuta kaz ili niachane na mambo ya Bajaj,kweli ndan ya mwez mmoja nikapata kaz kwenye kampuni flan ambayo ndo Ilikua imeanzishwa,wakanambia tutakua tunakulipa kadri kampuni inavyo endelea kukua,kweli ilibidi nikubaliane na mshahara wao wa 350K,kumbuka kipindi hicho Niko na demu na namhudumia kama kawaida,

Ile kampuni ndan ya miez 6 nilijikuta nalipwa kama 650K mana nilikua najituma sana,sitaki kueleza nilikuwa upande gan kwenye kampuni ile,Nakumbuka nilivyofikisha salary ya 650k kila mwez nilikua nampa 150k mana nilikua nampa ili anunue mahitaji ya nyumban kwao cz hawakua na baba,walikua wanaishi yeye,mama,na wadogo zake wawili,

Huyu Demu niliendelea nae kwenye mahusiano mpaka mwaka Jana mwezi 1 ambapo mama yangu mzazi aliugua,tulizunguka sana mahospital mpk Kwa waganga ila tatizo likaja kuonekana mhimbili kuwa anatatzo la figo,kumbuka toka mwezi huo Mimi ndo nilikua nazunguka na mama mana ndo nilikua kama mtoto wa mwisho so braza na sister zangu wao kaz yao Ilikua ni kutuma hela tu,

Huo mwez wa 3 mwaka Jana ndo tatizo lilikuja kuonekana,Baada ya tatizo kuonekana ikabidi matibabu yaanze,kama mjuavyo matatizo ya figo yalivyo ya gharama ikawa pesa yote tunayo pata ikawa inaishia hospital,Mara kipimo hiki Mara kwenda agha khan Mara mpewe barua kwenda Regency,ilifikia hatua mpaka tukawa tunashindwa kula mana hela ambazo ndugu zangu wote tulikua tukipata nilikua zinaishia Kwa mama,Lakin Kwa huyu dem nilikua najibana natuma hata 50k,

Baada ya kukaa miezi 4 siko kazin ilibidi niandikiwe barua ya kuachishwa kazi,kwamba hawawez kuendelea kunilipa wakati sipo kazin ila wakanambia wananiingizia 4.8m ili inisaidie,

Kweli baada ya Siku mbili niliingiziwa hyo pesa,Lakin cha ajabu hyo pesa ndani ya mwezi iliisha japo huyu demu nilimtumia laki 3,

Ilifikia hatua simu nikauza,na Dada yangu ambaye nilikua nasaidiana nae pale mhimbili kumwuguza mama nae simu akauza,(Usiombe umwuguze ndugu yako figo)

Nikiwa pale mhimbili naendelea kumwuguza mama,huyu demu alinipgia simu Kwa kisimu changu kidogo nilichobaki nacho akiniomba nimtumie Elfu hamsini,nikamjibu poa huku Kwa akili yangu nikitaka nimtafute mshikaji nijikope ili nimtumie hiyo pesa,ila nafsi ikakataa nikamjibu labda anisubiri mpaka mwisho wa mwezi,akajibu sawa,kesho yake tena akanipgia akaniuliza huna hata elfu kumi hapo nikamjibu sina Ila nikamwomba anivumilie,Nakumbuka zilipita kama Siku tano huku mabadiliko makubwa nikiwa nimesha yaona nikimtext sms anajibu P,k,Ok,pw,

Siku moja huyu demu aliniandikia sms ambayo mpaka Leo nikikumbuka huwa nawachukia wanawake wote ’JIMMY USIPONIHUDUMIA WEWE ATANIHUDUMIA NANI???' Akamalizia Kwa kusema "KAMA UMESHAPATA WANAWAKE WENGINE SEMA ILI NIACHE KUPOTEZA MUDA"

Nakumbuka Siku hyo Ilikua mida ya saa5 usiku nikiwa nimelala kwenye benchi pale mhimbili,hii ya kulala kwenye mabenchi najua wanaijua wale walio wahi kuuguza pale mhimbili,Nilimjibu "POA"

Toka Siku hiyo huyu demu hakuwahi kujibu text yangu na wala kupokea simu yangu,ikabidi nifute namba yake akili yote nikaelekeza Kwa mama mana ndugu wote tulikua tumesha changanyikiwa,

Mwezi wa 7 mwaka Jana kuna jamaa alinitext akaniuliza,,vp jay ushaachana na yule Demu? Nikamjibu hapana,akanambia niingie watsaap nikacheki,ikabidi niende Kwa jamaa flani alikua na duka pale mhimbili nikamuomba simu nikaweka namba ya demu nikakuta wako na jamaa flan,nikacheki status nyingi wakiwa wanapika pmj,pale pale nikasema kimoyo moyo "POA" nikamrudishia jamaa simu yake nikarudi pale kwenye benchi kumsubiri Dada mana daktari alikua ameuita kidogo,nikiwa nimekaa pale kama nusu saa sister akaja analia,nikamwuliza vipi?

Akanipa barua nikaona tume pewa rufaa ya mama kupelekwa India mana ilionekana figo zote zina elekea kufeli,tukakusanyika ndugu wote ikabidi tuuze nyumba ambayo tulijengewa watoto wa kiume na tukauza Bajaj na viwanja vitatu,Naelezea hivi ili mjue uchungu nilionao juu ya huyu demu,

Mwez wa 8 mwaka Jana mama tulimfikisha India nikiwa Mimi na Dada yangu,najua wengi watajiuliza Kwann ni Mimi tu na Dada yangu huyu tulikua tukimwuguza mama!!?? Huyu Dada ndo mkubwa kwetu na Mimi ndo mtoto wa kiume wa mwisho nikifuatiwa na mtoto wa kike,hawa wengine ndugu zangu walikua na wake zao na waume zao,na huyu sister alifiwa na mume wake so ikabidi me na yeye ndo tumwuguze mama japo ndugu wengine hawa Ilikua ni kutoa pesa na kuulizia hali inavyo enda.

Tulivyo mfikisha mama India hali ilizidi kuwa mbaya ndani ya wiki mbili akawa amefariki,
Ndugu walijichanga huku wakatuma pesa tukawa tumesafirisha mwili mpaka Dar then tukachukua gari mpaka mwanza,

Tarehe 4 mwez 9 tuliweza kumpumzisha mama,
Maisha mapya kwangu yakaanza,ikabidi jamaa flan anichukue nikafanye nae inshu za gereji mana muda wote nilikua nafikiria kumuua huyu demu kiasi kwamba kuna Siku nilinunua dumu la petrol ili nikachome nyumba ya jamaa yake usiku wakiwa ndani,usiku huo huo ndo huyu mshikaji akaja kunishauri nijiunge nae gereji mana nilikua sina mwelekeo,

Nikaanza kuwa fundi gereji na usiku nikawa napga bodaboda,nikawa nimemsahau huyu demu mana nikawa nikitaka demu naenda kununua Malaya napita zangu hivi,

Nimefanya kaz ya ufundi mpaka nikawa natumwa kuchukua magari Dar,angalau life langu likarudi fresh,Kwa wiki kufata magari mwili dar ni kawaida sana najikuta napata pesa ya mtu anae kaa ofisin mwez mzima,

Huyu Demu baada ya kuniona maisha yangu Kwa sasa kaanza usumbufu,kawafuata ndugu zangu wote kuwaomba wanikutanishe na yeye nimekataa,Mwez uliopita nilirudi usiku Saa 5 usiku nimetoka Dar nikamkuta kakaa na mdogo wangu,ile dogo Anakuja kunipokea na yeye akaja nikakimbilia ndani kuchukua panga ile narudi huku nalia dogo akanishika wapangaji wote wakatoka baada ya kumskia huyu demu akilia akiomba msaada,

Licha ya kumkanya ila kila Siku anasumbua tu mpaka Kwa ndugu zangu,mpaka kaenda Kwa mama flan ambaye alikua ni rafiki na mama,akaniita ila ajabu kila nikitaka kuwaeleza alichonambia huyu binti kipindi kile najikuta nalia nashindwa kuongea,

Huyu demu kafanya niwe mlevi wa kununua Malaya kiasi kwamba nikimwona demu wa uraiani hata awe mzuri vp hata hamu ya kumtongoza wala sipati.

Kila nikimfikiria huyu Demu Nataman kumfanyia kitu kibaya tu,yan kwenye kichwa changu nahisi Nina deni kubwa la kumfanyia unyama huyu demu.

Imebidi nije humu JF nahis naweza pata washauri wazuri namna ya kudeal na hii situation mana naona kabisa soon Ntakua magereza mana kila nikimfikiria huyu demu nahis kama maisha yangu ili yaende sawa ni mpaka nimfanyie kitu kibaya ambacho atakufa bila kusahau.

Ahsanteni.
Sasa mbona hilo ni jambo dogo sana we kaka. Yaan ukaishie jela kisa demu, we vp bana.
We tulia na maisha yako. Kuna kitu ulisahau kwenye mahusiano.
Kabla hujazama kwenye mapenzi msome mtu ukiwa na hela na wakati huna. Huyo dada huo ndio udhaifu wake yaan pesa ila hukumsoma. Na pengine wakati unauguza hukumuweka wazi.
Lakini hii story ya pande moja haina mashiko ilibidi wote muwepo ndio tungeamua vyema, tutaaminije kila kitu unachosema wewe. Manake penye kila kosa ujue kuna mahali na wewe ulikosea bro.
Endelea na life ukiweza hamia mkoa ila ukipata mwengine acha kupenda jumla, moe mtu asilimia kama 50 hv akikuletea ushenzi hutaweza kuumia kama hivyo sasa we umetoa moyo wooote unamoa mtu anaunchezea hvyo ndio mana umevurugwa yaan. Ila usimfanye chochote, msimamo wako ndio utakaomtesa siku zote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
48 Reactions
Reply
Back
Top Bottom