Huyu Mwanamke anamaanisha nini? Wadau nisaidieni

Nadhani kama umri wako unatosha ni bora uoe.sababu nachofanya ni anakuepusha na dhambi ya uzinzi.Inawekezekana ni mtu anayechukia dhambi ya uzinzi.anajaribu kuwa na wewe labda anajua unamchunguza ili umuoe.Na naona pia anakuheshimu
Ananiheshimu sana
 
kama hakuombi pesa na ni mdogo mdogo anaeza kua bikra hivo anasumbuliwa na woga, nishawahi kutana na kibinti cha aina hiyo hata ukikipa pesa kinaikataa, nilikabahatisha baada ya miaka 2
Sio bikra mkuu ana 22 years lakini bikra hana alishaniambia.ila anasema hajaonana na mwanaume miaka miwili
 
Kwema wakuu?

Niende moja kwa moja kwenye tatizo langu.mimi nina mpenzi wangu ambae tumedumu takribani miezi 8 sasa, lakini hatujawahi kufanya mapenzi kabisa na kila siku tunaonana.shida ya kutosex ndio imenileta hapa jukwaani.kila tunapopanga siku ya kupeana raha huyu mwanamke ananipa porojo na mimi nazikubali, wakati mwingine visingizio anavyonipa nakuwa najua kabisa kanidanganya ila nakubali tu kwa kuwa huwa sipendi mabishano katika mahusiano yangu.

Sasa hali hiyo ilifikia kipindi nikaichoka so nikaamua kujiweka pembeni mwenyewe nikiamini huenda hataki kusex na mimi ila tu anataka kunisumbua akili yangu. Cha ajabu nikitaka kumuacha analia na kama sijampigia au hatujaonana siku moja basi analalamika sana..na anaonesha dalili zote za kunihitaji na kunipenda.ila shida ni je kwa nini hanipi penzi?

Je hii inamaanisha nini? Maana hela haombi kabisa maana tungesema labda anataka hela zangu.

Wadau nisaidieni maana nimechoshwa kula kwa macho na nikitaka kumove on analalama
Yule mama hakukosea aliposema wanaume wa siku hizi hawajui kutongoza
 
Tatizo ni wewe uloonyesha nia ya kumuoa lazima usipewe kitumbua maana waoaji wakipewa mapema, utaona yuko cheap sana halafu umpige chini. sio kwamba huyo mwanamke hagogwi, ukute anagawa sana tu wengine wanapewa kitumbua kama njugu.
Hili ndio jibu sahihi hapa.
Anakuigizia kwa sababu ameshakuona tayar umejipanga na uko tayari kwa ndoa.
Hawezi kukaa miezi 8 bila kugongwa lazima ipo sehemu ambayo akizidiwa anakwenda kutulizwa nyege ila anaogopa akikuvulia wewe chupi utamkinai na kughairisha wazo la ndoa baada ya kumzoea utamu wake.
Lakini wewe ndio tegemeo lake la future yaani uje kumuoa.
Sasa hapo chaguo ni lako kusuka au kunyoa,uuziwe mbuzi kwenye gunia au upige chini na usake mwingine.
Lakini point ya mwisho kabisa sijui ukitaka kumgonga huwa unampangaje pengine mbinu unayoitumia ndio dhaifu kwa mtu mzoefu angekuwa ameshamvua chupi siku nyingi sana kama unasema kila siku upo naye na anakubali kuja.
Inawezekana wewe huwa unamwambia dear kesho uje tutiane hivi huwezi kumpata atakukwepa kila siku.
Mwanamke ambaye hujawahi kumvua nguo unatakiwa umshtukize ajikute tu yupo geto kitandani akiwa uchi hapo atakosa mbinu ya kukukwepa na ukishamtia mara moja basi siku zingine atakuwa anakutafuta yeye mwenyewe ukamtie.
 
Ina maana mwisho wa dunia ukiwa leo tutanyakuliwa ukiwa bado hata hujamtom** harakisha kijana,Siku jifanye unamuachia akianza vilio muulize utatomb** au hutomb**
😆😆😆😆mkuu umekaza sura kwenye hii comment😂😂
 
Mademu style hiyo wapo sana, kama mdau alivyokwambia hapo juu kutakuwa na mdau anamdocha uyo manzi yako, nlishawahi kutana na iyo type 2010 kumbe analiwa na mdau mwingine tena kuna muda anakuja kwangu katoka kuliwa. Nlichofanya ni kumpiga X nikachukua best yake, tena nikakuta best yake mashine safiiii, mbona baada ya kuona sina time naye aliileta mwenyewe, nikakuta dogo katumika sana, nikala kibabe kupunguza hasira za kusumbuliwa.
NB: Nlivaa buti sikwenda peku
 
Back
Top Bottom