Huyu mwanamke aliniharibia maisha kabisa....

Ushimen

JF-Expert Member
Oct 24, 2012
37,165
85,182
Wakuu, misianzi na maelezo meengi. Naamini muwazima.
Kuna dada moja naomba nimpe jina Qeen, huyumdada tulikua wapenzi kuanzia 2007 na pia tulikua tunafanyakazi wote kampuni moja. 2009 may nimetoka likizo aliniita chumbani kwake na akaniambia kiupole kabisa kwamba ameamua tuachane, kwangu ilokua ngumu kuamini kwani sikutegemea, pia tulikua tunapendana sana na Qeen. Ilinibidi nikubaliane na maamuzi yake kwa shingo upande kwa makubaliano yakwamba yeyote katiyetu asijihusishe na mahusiano kwenye kampuni ile. Baada ya mwezi moja, nikaanza kuskia fununu kwamba Qeen anatoka na rafikiyangu wa ndani ya kampuni na jamaa huonekana kila asubuhi akitokea chumbani kwa Qeen, hakika hiikitu ilinistua na kinikosesha raha. Niliamua kumpigia sim na kumuuliza, jibu alilonipa lilinichanganya na presure ilipanda na kupoteza fahamu.
Nililazwa kwenye hosiptali ya pale kazini hadi nilipo pata nafuu. Nilipotoka ndio nikakuta Qeen na rafikiyangu wameamua kuweka mapendo hadharani, kitendokile kiliniumiza sana. Ghafla niliamua kuwa mlevi wa kupindukia, hali iliyopelekea utendaji wangu kushuka na kuwa mtoro kazini hata pale nilipo onywa. Hakika nilichanganyikiwa na ile hali ilijulikana kwa kila mfanyakazi hadi kwa meneja mkuu, na matokeoyake nikafukuzwa kazi.
Nilirudi mtaani, nikasota sana, nikapigika sana, nilipinda, maisha yalinichapa, marafiki ealinikimbia na ndugu, jamaa na marafiki waliniita kichaa.
Baada ya kuanza kumsahau Qeen, niliamua kuuza gari langu lililopaki kwa kukosa huduma na pia nikauza baadhi ya vitu vya ndani pamoja na thamani. Nilinunua nguo na baadhi ya vitu vilivyo nifanya niridi kwenye muonekano wa unadhifu, ndipo nikaanza kutafuta kazi kwa bidii na namna zote na pia sikuchagua kazi kwa kipindi hicho.
Mungu alinijalia nikapata kazi nzuri na hadi dunia ilishangaa namna nilivyo ipata kazi hii yenye mshahara mnono mara 5 zaidi ya pale nilipo fukuzwa.
Mungu alovyo wa ajabu, kamleta Qeen. Huyu dada ananisumbua kwa kilanamna ya mawasiliano, ansomba turudiane na nimsamehe kwani ni shetani tu alimpitia. NIMEJISKIA HASIRA HATA NASHINDWA NIGANYE NINI MAANA NINAPATA USUMBUFU USIO KIFANI NA KUNIKUMBUSHA MAISHA MABOVU ALONISABABISHIA.
My Take: Wadada acheni kuwatenda wanaume ambao wanawapenda kwa dhati.
Na nimeona niwaletee wanajamvi pia tujofunze kutomuumiza yule akuoendae kwa dhati.
 
Weka picha tuone;

1005409_376225019155696_760214894_n.jpg
 
Usifanye mistake ya kurudiana na mtu aliyekutenda tena kwa dharau kubwa.

Mwenzako amependa huu ushauri wako hauwezi kufanyiwa kazi.

Tukubali tu kuna wanaume dhaifu na hawaamini kama Wanawake Duniani idadi yao wanazidi billioni 3.

Wacha viumbe wengine wawe ni samplers za kufanyia research.

Au hujui kuna waruguru walikuwa wanamsifu marehemu ndugu yao kwamba kagongwa na gari ya balozi? Ni heshima kubwa kwao.
 
Naamin Queen ndo yule yule kabadilika maneno tu.Mwambie kama anataka kutumiwa akubali ila hamtafika popote maana unamchumba,pia mchane live

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Asanta mkuu
 
Jifanye unamsamehe halafu akifungua moyo wake yaani akianza kukupenda yeye, wewe unampiga kibuti.
 
Wakuu, misianzi na maelezo meengi. Naamini muwazima.
Kuna dada moja naomba nimpe jina Qeen, huyumdada tulikua wapenzi kuanzia 2007 na pia tulikua tunafanyakazi wote kampuni moja. 2009 may nimetoka likizo aliniita chumbani kwake na akaniambia kiupole kabisa kwamba ameamua tuachane, kwangu ilokua ngumu kuamini kwani sikutegemea, pia tulikua tunapendana sana na Qeen. Ilinibidi nikubaliane na maamuzi yake kwa shingo upande kwa makubaliano yakwamba yeyote katiyetu asijihusishe na mahusiano kwenye kampuni ile. Baada ya mwezi moja, nikaanza kuskia fununu kwamba Qeen anatoka na rafikiyangu wa ndani ya kampuni na jamaa huonekana kila asubuhi akitokea chumbani kwa Qeen, hakika hiikitu ilinistua na kinikosesha raha. Niliamua kumpigia sim na kumuuliza, jibu alilonipa lilinichanganya na presure ilipanda na kupoteza fahamu.
Nililazwa kwenye hosiptali ya pale kazini hadi nilipo pata nafuu. Nilipotoka ndio nikakuta Qeen na rafikiyangu wameamua kuweka mapendo hadharani, kitendokile kiliniumiza sana. Ghafla niliamua kuwa mlevi wa kupindukia, hali iliyopelekea utendaji wangu kushuka na kuwa mtoro kazini hata pale nilipo onywa. Hakika nilichanganyikiwa na ile hali ilijulikana kwa kila mfanyakazi hadi kwa meneja mkuu, na matokeoyake nikafukuzwa kazi.
Nilirudi mtaani, nikasota sana, nikapigika sana, nilipinda, maisha yalinichapa, marafiki ealinikimbia na ndugu, jamaa na marafiki waliniita kichaa.
Baada ya kuanza kumsahau Qeen, niliamua kuuza gari langu lililopaki kwa kukosa huduma na pia nikauza baadhi ya vitu vya ndani pamoja na thamani. Nilinunua nguo na baadhi ya vitu vilivyo nifanya niridi kwenye muonekano wa unadhifu, ndipo nikaanza kutafuta kazi kwa bidii na namna zote na pia sikuchagua kazi kwa kipindi hicho.
Mungu alinijalia nikapata kazi nzuri na hadi dunia ilishangaa namna nilivyo ipata kazi hii yenye mshahara mnono mara 5 zaidi ya pale nilipo fukuzwa.
Mungu alovyo wa ajabu, kamleta Qeen. Huyu dada ananisumbua kwa kilanamna ya mawasiliano, ansomba turudiane na nimsamehe kwani ni shetani tu alimpitia. NIMEJISKIA HASIRA HATA NASHINDWA NIGANYE NINI MAANA NINAPATA USUMBUFU USIO KIFANI NA KUNIKUMBUSHA MAISHA MABOVU ALONISABABISHIA.
My Take: Wadada acheni kuwatenda wanaume ambao wanawapenda kwa dhati.
Na nimeona niwaletee wanajamvi pia tujofunze kutomuumiza yule akuoendae kwa dhati.
ndivyo waliyo hao wadudu ni wanyama sana,mwambie aendelee na huyo,huyo m_sayi@yahoo.com
 
Dah Pole kwa kupata ukichaa...mi nakushauri mwite ghetto halafu mwache kwa dharau kuu!! Halafu mtimue...ila make sure, shetani asikuingilie kati ukachanganyikiwa, mwombe Mungu na fanya kama nilivyokuagiza
 
Back
Top Bottom