Huyu mwanajeshi wa JWTZ ana misifa anaporusha ndege za kivita

Za jion jamani.

Kuna afisa mmoja wa JWTZ kambi ya pale Kibaha maili moja,ana misifa sana anaporuhusu ndege za kivita kupita chini chini kabisa ya usawa wa nyumba za watu.

Anafanya kitendo hiki makusudi kabisa.

Siku moja akiwa bar Kibaha maili moja akasema:-
."Kesho nitazipitisha ndege hizo chini kabisa,nitawapigia cm nikianza kuziruhusu zikatize hapa Kibaha maili moja".

Baada ya hapo akachukua namba ya mmojawapo.

kesho yake mida ya saa 3 asubuhi,tukasikia muungurumo mkubwa sana wa ndege mbili zilizopita kwa kasi ya ajabu zikiwa chini chini kuelekea kikosi cha JWTZ kule Msata. Baada ya muda mfupi,akapiga simu:-

"mmeziona ee??,hapo nimezielekeza kwenda kutua Msata.Zitarudi kesho"

Aache misifa ya kuungurumisha ndege karibu na watu atakuja kutumaliza aisee...
mlimpa kinywaji gani?..BALIMI?
 
Baada ya kusoma huu uzi,niliamua kuingia mitandao mingine ya kimataifa kufanya uchunguzi wangu....nimegundua mtoa mada ni Muongo wa kupitiliza au hana elimu ya kutosha kuhusu Utaratibu wa ndege hata zile za kiraia katika urukaji wake. Labda ameamua kuwafurahisha wana J.F Pole sana mtoa mada,kuna mwana J.f amejaribu kueleza hapo juu vizuri taratibu.
 
Back
Top Bottom