Huyu mwamba wamevunja vunja mifupa yote!

Behaviourist

JF-Expert Member
Apr 8, 2016
39,901
95,401
2456890.jpg
 
Kuna jamaa nadhani anatumia VPN kanionyesha a very disturbing video clip ya mwanaume akifanyiwa vitendo vichafu kwa nguvu huko Zanzibar na wanaosadikiwa kuwa ni wanausalama! Sikuweza kumaliza kuiangalia.
Mkuu ntumie pm aise

Ova
 
Seif kapigwa wapi?
Mbona sioni picha

Nimeongea hapa na watu wa CUF wanasema yule mzee ni snitch uwa anaiuza Zanzibar kisha yeye aonekani kabisa kama ndio msaliti

Nikiwatazama wakina boby Brown
Wakina kiza Besgiye

Angalau hata Odinga Odinga alitolewa Nundu pale kesha
Seif na Mbowe katika hizi harakati za kudai mageuzi wameshawahi hata kupigwa konzi hivi

Umaweza ukacheki kwa jicho pevu ukagundua ndani ya upinzani kuna makada…
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom