Huyu Mwamba kafanya kosa gani hadi Padre kashika kichwa?

Elli

Platinum Member
Mar 17, 2008
55,499
86,027
Nimejaribu kutafakari nimeshindwa. Why Padre aumie kiasi hicho?

1593255925311.png
 
Hiyo ni unamuambia mshkaji wako "Ebwana nimepiga (ingiza jina la kike) juzi" halafu mshkaji wako anaropoka huku kashika kichwa "Mzee mpaka yule umepiga!!?" Unamuangalia kwa mshangao huku mdomo upo wazi na sura inaashiria lile swali la "Bro did I fvck up? Again?" Kisha anamalizia "Yule bwana ake si (ingiza jina la kiume) yule mwana ana ngoma mbona kitambo?"
 
Itakuwa Padri anawqza ampe vitubio gani maana kila siku anakuja kuungama na haachi hako kamchezo, hao watumishi wanasiri nyingi hao.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom