Huyu mwamba anamwambia nini Padri mpaka kajishika kichwa?

Mkogoti

TAPELI Mkubwa
May 3, 2020
2,416
3,911
IMG_20200627_222024.jpg
 
Aliiba uchaguzi.

Hakuna dhambi mbaya chini ya mbingu kama kutaka kutawala watu wasio kuchagua.
Ndio maana padri anatatizika kutoa njia ya kuufikia msamaha ambao haupo.

Hakuna awezae kutoa msamaha ila mtendwa pekee baada ya kuombwa kusamehe na mtenda.
 
Jamaa anampa maelezo padri "Binti alikua anatembea tembea barabarani akateleza akaangukia uume wa yule kijana ukamchoma ukapitila hadi tumboni, binti akapata mimba"

Padri kashika kichwa "hayaaa huyo kijana anashabaha mungu wangu"
 
Jama anampa maelezo padri"Binti alikua anatembea tembea barabarani akateleza akaangukia uume wa yule kijana ukamchoma ukapitila hadi tumboni,binti akapata mimba"
padri kashika kichwa"hayaaa huyo kijana anashabaha mungu wangu"
Umeniacha hoi😂😂
 
Ananikumbusha jamaa anaitwa grayman,kila akiuwa,anakuja kuungama kwa kasisi,
Kumbe kasisi nae ni broker,yaani kama mtu anatafuta gun for hire, yule kasisi ndo anaconect,kiufupi kasisi alikuwa anafanya kazi za CIA, sasa CIA walikuwa wanamsaka huyu Grayman kumuua baada ya kuasi kambi

Kwahiyo kasisi akamchoma grayman kwa CIA, ikatumwa team ya SAD toka marekani kwa private jet mpaka Italy ndani ndani alipokuwa kajificha grayman kwenye safe house yake

So grayman hajui hili wala lile akastukia team ya cia imetia timu,sema alikua mkali wao, akawafyeka wote, then akakumbuka mtu pekee aliemwambia location yake ni yule kasisi, basi Grayman akaconclude kuwa kasisi ndie kamsinitch kwa CIA,

Akarudi church, akamkuta kasusi,

"Karibu mwanangu,umekuja tena kuungama?"

"Yes, father, i just come from killing some people's, so here am father, i have sinned and to top it,, before l leave here, i have to kill you cause you snitched me to the CIA wet team, you the only one who knew where to locate me, you are going to die father"...

Kasisi, akashika kichwa kwa mawazo, huku grayman nae akiwa amejaa masikitiko,
 
Jamaa anampa maelezo padri "Binti alikua anatembea tembea barabarani akateleza akaangukia uume wa yule kijana ukamchoma ukapitila hadi tumboni, binti akapata mimba"

Padri kashika kichwa "hayaaa huyo kijana anashabaha mungu wangu"
Wewe ni genius
 
Ananikumbusha jamaa anaitwa grayman,kila akiuwa,anakuja kuungama kwa kasisi,
Kumbe kasisi nae ni broker,yaani kama mtu anatafuta gun for hire, yule kasisi ndo anaconect,kiufupi kasisi alikuwa anafanya kazi za CIA, sasa CIA walikuwa wanamsaka huyu Grayman kumuua baada ya kuasi kambi

Kwahiyo kasisi akamchoma grayman kwa CIA, ikatumwa team ya SAD toka marekani kwa private jet mpaka Italy ndani ndani alipokuwa kajificha grayman kwenye safe house yake

So grayman hajui hili wala lile akastukia team ya cia imetia timu,sema alikua mkali wao, akawafyeka wote, then akakumbuka mtu pekee aliemwambia location yake ni yule kasisi, basi Grayman akaconclude kuwa kasisi ndie kamsinitch kwa CIA,

Akarudi church, akamkuta kasusi,

"Karibu mwanangu,umekuja tena kuungama?"

"Yes, father, i just come from killing some people's, so here am father, i have sinned and to top it,, before l leave here, i have to kill you cause you snitched me to the CIA wet team, you the only one who knew where to locate me, you are going to die father"...

Kasisi, akashika kichwa kwa mawazo, huku grayman nae akiwa amejaa masikitiko,
movie gani hiyo tukai idowmload
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom