Huyu Mtu "The best shooter tz" Anapata wapi ujasiri wa kuendelea kumtishia Tundu lissu Kifo??

bampami

JF-Expert Member
Nov 5, 2011
5,697
4,107
Wapendwa kule instagram kuna account inaitwa "the best shooter tz". Imekuwa ikitoa kauli za kumtishia kifo Mh.Tundu lisu. Katika post nyingi zinazotumwa na account za chadema kama hii utaona account hii ikipost kwa maneno haya, nanukuu "Tundu lisu lazima tumpoteze, risasi nyingime zinamsubiri, labda asirudi huku tanzania".

# Najiuliza account hii fake inapata wapi ujasiri wa kusema hivi na kuamini kuwa haitoweza kukamatwa???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Comment yenyewe ndo hiyo
20190126_215623.jpeg

Inawezekana ana kibali cha kufanya hayo anayonena. Ila kujisifia kumpoteza binadamu mwenzako hata kama ni adui yako siyo uzalendo hata kidogo ila ni kujiandalia hukumu ya milele.
 
Jeshi lao, polisi yao, mahakama yao, bunge lao ndio maana Sirro haangaiki, Lugola haangaiki, TCRA haihangaiki ila Shoza Juliana anawaona kina Gigi Money tu kwa kua anajua hana chochote wala taaluma yoyte zaidi ya kutegemea kujipendekeza kwa raisi, maana tunajua wote Chadema kule Sehemu za siri ndizo zilikua zinaumia
 
Wapendwa kule instagram kuna account inaitwa "the best shooter tz". Imekuwa ikitoa kauli za kumtishia kifo Mh.Tundu lisu. Katika post nyingi zinazotumwa na account za chadema kama hii utaona account hii ikipost kwa maneno haya, nanukuu "Tundu lisu lazima tumpoteze, risasi nyingime zinamsubiri, labda asirudi huku tanzania".

# Najiuliza account hii fake inapata wapi ujasiri wa kusema hivi na kuamini kuwa haitoweza kukamatwa???

Sent using Jamii Forums mobile app

Sasa atakamatwa na nani unafikiri,
Na hapo ndio anawafurahisha kina Nyani Ngabu Na wengine, ila amini 2026 bashite na baba yk watakuwa segerea, usiulize kwann My kaka
 
Hao watakuwa chadema wenyewe wanatengeneza scenario ya kuonesha kuwa kuna watu kutoka mamlaka wana nia ya kumuu huyo rais wa mioyo yao mpya ( Lissu).

Hakuna muuaji mzoefu anaweza kutumia intimidation iwapo ana nia thabiti ya kutekeleza mauaji.

Wenye akili fupi ndiyo wataelewa kama wasomavyo.

kwel kabisa mkuu wanatengeneza kiki

Una uhakika ni chadema?? Umewatafuta ukawauliza?? Au unasema tu
 
Hao watakuwa chadema wenyewe wanatengeneza scenario ya kuonesha kuwa kuna watu kutoka mamlaka wana nia ya kumuu huyo rais wa mioyo yao mpya ( Lissu).

Hakuna muuaji mzoefu anaweza kutumia intimidation iwapo ana nia thabiti ya kutekeleza mauaji.

Wenye akili fupi ndiyo wataelewa kama wasomavyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ungekuwa karibu ningekutia mbata moja matata sana...ili nishtue hiyo akili ikae sawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom