Huyu mtu ana silaha alizo nazo alizifanyia nini hadi zina damu?

Inanambo

JF-Expert Member
Jun 26, 2011
3,986
2,768
MICHAEL.JPG

jamaa huyu alikutwa kwenye mitaa fulani huko londoni akiwa ameshika hizo silaha ambazo kwetu bongo hatujali hata kama mtu anaziuza mitaani uskiku akisema za kunyolea. Ni hatari wakiuziwa watu kama hawa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom