kurlzawa
JF-Expert Member
- Jan 23, 2018
- 16,703
- 20,606
nidhamu si anayo Humphrey tu.Mtoto Kama Hana nidhamu lazima achapwe tu
kilicho akilini kitumie
Sent using Jamii Forums mobile app
nidhamu si anayo Humphrey tu.Mtoto Kama Hana nidhamu lazima achapwe tu
kilicho akilini kitumie
...inaweza pia kufika jamii ikamuona mtoto huyu ana busara na anajitambua kuliko wanaomlea??Na Kwahali inavyoendelea huyo mtoto atamvua msuli mleziwake hadharani mbele za watu na mlezi hatajua chakufanya.
Mtu mzima akikosa hekima unafikiri mtoto anfanyaje?Mtoto Kama Hana nidhamu lazima achapwe tu
kilicho akilini kitumie
Kweli na kumdhalilisha kabisa mleziNa Kwahali inavyoendelea huyo mtoto atamvua msuli mleziwake hadharani mbele za watu na mlezi hatajua chakufanya.
We jamaa kwa hiyo unahisi mimi TISSInafahamika mpo kazini!
Kazi "ya kulilinda taifa" dhidi ya "genge la wahalifu" lililosajiliwa kwa mujibu wa sheria za JMT.
Hivi kwann nguvu kubwa na rasilimali zetu ziwe zinatumika kupambana na hao wahalifu ilihali tunaweza tu kutumia sheria tukawafutia usajili? Hizi nguvu na rasilimali tukazielekeza mahali pengine kuleta maendeleo.Waambie ofisi yenu MUNGU hapendi, yana mwisho
Ni kweli mkuu Ila kuendelea kumchapa ni kumkomaza mwisho wa siku atataka mpigane
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtu mzima akikosa hekima unafikiri mtoto anfanyaje?
Bila shaka, ila hoja hapa asilimia kubwa ya mtoto jinsi alivyo inatokana na malezi ya mzazi, taasisi ya kwanza ya makuzi ni familia na mwalimu wa kwanza ni mzazi ama mlezi kabla ya yule wa chekechea ama mwingine yoyote.Si kila mtoto asiye na hekima wazazi wake hawakuwa na hekima vivo hivyo si kila mtoto mwenye hekima wazazi wake wana hekima.