MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 20,897
- 63,783
Nimeangalia jinsi Donald Trump anavyomsifia huyu jamaa George P Bush, na kinachoshangaza zaidi ni kwamba huyu jamaa alimuunga Donald Trump mkono kipindi cha kampeni, mbali na zile kejeli zote ambazo Donald Trump aliisemea familia ya Bush. Hapa alimsifia na kusema "He's is the only Bush that likes me" na kuendelea kusema "He gets it"
Kinachoshangaza zaidi ni kwamba mbali na ukaribu wake na Donald Trump, inasemekana kwamba bado yuko karibu sana na familia yake hasa baba yake kama ilivyokuwa mwanzoni. Hapa CNN wamezungumzia kidogo:
SWALI LANGU LA MSINGI:
Vipi huyu naye atakuja kuutaka Uraisi wa Marekani huko mbele kama Babu yake, Baba Mkubwa wake na Baba yake walivyofanya, hasa ukizingatia familia ya Bush ni moja ya familia zenye nguvu sana nchini Marekani hadi kufanikiwa kutoa maraisi wawili ???