Huyu mtoto wa Jeb Bush, "George P Bush" anakaa jirani na Donald Trump kujijenga kisiasa?

MALCOM LUMUMBA

JF-Expert Member
Jul 26, 2012
20,897
63,783
Nimeangalia jinsi Donald Trump anavyomsifia huyu jamaa George P Bush, na kinachoshangaza zaidi ni kwamba huyu jamaa alimuunga Donald Trump mkono kipindi cha kampeni, mbali na zile kejeli zote ambazo Donald Trump aliisemea familia ya Bush. Hapa alimsifia na kusema "He's is the only Bush that likes me" na kuendelea kusema "He gets it"

Kinachoshangaza zaidi ni kwamba mbali na ukaribu wake na Donald Trump, inasemekana kwamba bado yuko karibu sana na familia yake hasa baba yake kama ilivyokuwa mwanzoni. Hapa CNN wamezungumzia kidogo:

SWALI LANGU LA MSINGI:
Vipi huyu naye atakuja kuutaka Uraisi wa Marekani huko mbele kama Babu yake, Baba Mkubwa wake na Baba yake walivyofanya, hasa ukizingatia familia ya Bush ni moja ya familia zenye nguvu sana nchini Marekani hadi kufanikiwa kutoa maraisi wawili ???
 
Royal blood!
 
Katika Bush Familia huyu ameandaliwa kugombea urais,Toka akiwa mdogo amekuwa karibu na Babu yake George W.Bush toka akiwa VP Mpaka President, sina shaka siku moja atagombea urais.
 
Nimeangalia jinsi Donald Trump anavyomsifia huyu jamaa George P Bush, na kinachoshangaza zaidi ni kwamba huyu jamaa alimuunga Donald Trump mkono kipindi cha kampeni, mbali na zile kejeli zote ambazo Donald Trump aliisemea familia ya Bush. Hapa alimsifia na kusema "He's is the only Bush that likes me" na kuendelea kusema "He gets it"

Kinachoshangaza zaidi ni kwamba mbali na ukaribu wake na Donald Trump, inasemekana kwamba bado yuko karibu sana na familia yake hasa baba yake kama ilivyokuwa mwanzoni. Hapa CNN wamezungumzia kidogo:

SWALI LANGU LA MSINGI:
Vipi huyu naye atakuja kuutaka Uraisi wa Marekani huko mbele kama Babu yake, Baba Mkubwa wake na Baba yake walivyofanya, hasa ukizingatia familia ya Bush ni moja ya familia zenye nguvu sana nchini Marekani hadi kufanikiwa kutoa maraisi wawili ???

Kama dogo atakuwa ni kichwa kama Baba yake (Jeb Bush) basi atafika alipo palenga.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom