Huyu mtoto wa Jeb Bush, "George P Bush" anakaa jirani na Donald Trump kujijenga kisiasa?


Malcom Lumumba

Malcom Lumumba

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2012
Messages
13,863
Points
2,000
Malcom Lumumba

Malcom Lumumba

JF-Expert Member
Joined Jul 26, 2012
13,863 2,000
Nimeangalia jinsi Donald Trump anavyomsifia huyu jamaa George P Bush, na kinachoshangaza zaidi ni kwamba huyu jamaa alimuunga Donald Trump mkono kipindi cha kampeni, mbali na zile kejeli zote ambazo Donald Trump aliisemea familia ya Bush. Hapa alimsifia na kusema "He's is the only Bush that likes me" na kuendelea kusema "He gets it"

Kinachoshangaza zaidi ni kwamba mbali na ukaribu wake na Donald Trump, inasemekana kwamba bado yuko karibu sana na familia yake hasa baba yake kama ilivyokuwa mwanzoni. Hapa CNN wamezungumzia kidogo:


SWALI LANGU LA MSINGI:
Vipi huyu naye atakuja kuutaka Uraisi wa Marekani huko mbele kama Babu yake, Baba Mkubwa wake na Baba yake walivyofanya, hasa ukizingatia familia ya Bush ni moja ya familia zenye nguvu sana nchini Marekani hadi kufanikiwa kutoa maraisi wawili ???
 
B

Bensonpeace

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2017
Messages
302
Points
250
B

Bensonpeace

JF-Expert Member
Joined Jun 2, 2017
302 250
akiwa na sifa na akishinda awe tu sio mbaya, kwanza familia yao ni watu wa vita acha dunia ichangamke .
Kabisa mkuu ukiona jina la Bush basi ujue wanajeshi lazima wakae mbali na familia zao yaani kwenda vitani tuu ni Jambo la furaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
dudus

dudus

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2011
Messages
9,942
Points
2,000
dudus

dudus

JF-Expert Member
Joined Feb 28, 2011
9,942 2,000
We have different techniques of archiving our goals. If that is his technique let it be.
... archiving = kutunza masalia ya kale (archives); achieve = kupata; kufikia - usually malengo. Anyway, those are homophones - words having the same pronunciation but different meanings.
 

Forum statistics

Threads 1,284,196
Members 493,978
Posts 30,816,893
Top