Huyu mtangazaji mpya kipindi cha jahazi radio clauds ni ni.

wa stendi

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
24,685
26,779
Huyu mtangazaji ndo namsikia hapa anaonekana kachamka maa na anaigiliza hadi sauti ga mlengwa fulani kama habari in
avyosema

Nimekuta kipindi katikati hivo jina lake sijasikia hata akisema .
Naona p.j hayupo leo na gadna yuko china kikazi kidogo.
 
Mods naomba mnirekebishie title mwisho isome ni 'nani'? Sio ni nini kama inavyosomeka
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom