Huyu msichana nampenda ile sijui nimekosea wapi?

Broo Tushfutshtar wala hujabugi inawezekana ni stori za mashosti tu hizo wakishiba chips huwa wanapeana lakini hawamaanishi, dada mmoja aliwahi kuniuliza hio tshirt yako umenunua wapi na mimi nimnunulie yule taahira wangu? hakuwa anamaanisha maana boyfriend wake hakuwa taahira mara ooooh mtu wenyewe wala hajawahi kuniomba kitumbua.. huwa ni story tu stick with your plans kaka.
Aisee,ahsante sana kwa ku-share na mm experience kama hiyo! Nimetoka na kitu hapa bila shaka kitanisaidia sana.

Ahsante sana ndg Dharra.
 
Tulia umchunguze, hawa wadada wasasa sio kama mama zetu hapo zamani, inakupasa kuangalia vigezo vingi....
Shukrani sana.
Maana huenda ni kweli au sio kweli kwamba hayo ndiyo maisha yake.

Nitakuwa lakini sana kwenye hili.
 
Wewe ulikosea, ilibidi kwanza umshughulikie yule aliyekupa hizi habari kuwa huyo demu wako ana awasiwasi nawe huenda jogoo haliwiki. Ungemchapa yeye kwanza kama miezi kadhaa hivi huku ukimwacha huyo demu wako pekee na mwisho wa siku yeye mwenyewe angejilegeza tu kutaka kukupima kama kweli jongwe linawika. Wanawake siku zote hujiharibia wenyewe mahusiano....utakuta anakupenda lakini ataenda kuwatangazia wenzake kila kitu then wenzake hao hao wanamgeuka na kuja kujilainisha kwako kwa sababu wanakuwa wanajuwa kila kitu kuhusu wewe kwa sababu walishaambiwa na mwenzao.
Hahahahah duuuuh ila nimekuelewa sana Jamaa_Mbishi.

 
Unataka kumtoa kafara kashtuka
IMG-20180417-WA0019.jpg
 
Back
Top Bottom