Huyu msichana nafanya nae kazi sehemu moja nampenda sana ila yeye haelewi kabisa

functional

JF-Expert Member
Sep 13, 2018
732
772
Habari wadau, naombeni msaada wa ushauri jinsi ya kum convince huyu mrembo, maana nateseka sana, Muda mwingi tupo pamoja na mavazi yake ni yamitego sana, akivaa sketi basi inakuwa ni fupi sana (juu ya magoti) akivaa gauni basi inakuwa inambana sana, cha kushangaza hata nikimshika sehemu yeyote hakatai anacheka tu, ila nikimwambia kuwa namuhitaji anasema ananiheshimu kama kaka yake, hapo ndio ananichanganya kabisa, ushauri wenu muhimu.
 
Picha tafadhari mkuu.....ndo tukushauri
Huyu hapa
FB_IMG_15392427094769549.jpeg
 
Ahahahaah duh, na uliesema unataka kwenda kwao kutoa mahari ni mwingine?
 
Huenda ubongo wako huwa umeingilia na mfumo wa ripurogodisheni. Hizi mada zinazalishwa kwa wingi kichwani mwako.
 
Habari wadau, naombeni msaada wa ushauri jinsi ya kum convince huyu mrembo, maana nateseka sana, Muda mwingi tupo pamoja na mavazi yake ni yamitego sana, akivaa sketi basi inakuwa ni fupi sana (juu ya magoti) akivaa gauni basi inakuwa inambana sana, cha kushangaza hata nikimshika sehem yeyote hakatai anacheka tu, ila nikimwambia kuwa namuhitaji anasema ananiheshimu kama kaka yake, hapo ndio ananichanganya kabisa, ushauri wenu muhimu.
Kuwa serous mkomalie na wakati mwingine usioneshe kama unashida nae saana utampata tu
 
Kuna jamaa mmoja tulikua ofisi moja miaka ya zamani, alinitongoza halafu sikumpa jibu kama nimemkubalia au nimemkatalia.

Kuna siku nilikuwa kwenye gari yake, alibahatika kunitekenya tuu wakati nashuka kuondoka...... ndo vikaishia hapo alikuwa na aibu ya kuomba mechi aka domo zege. Hiyo kunitongoza yenyewe alichukua mwaka mzima anafanya mazoezi ya kunitongoza aahahahahahahha.

Kweli wanaume mmeumbiwa mateso na kuhangaika, poleni.
 
Sasa hapo na kushauri nini mkuu huyo si wakuvuta tu getto. Tupia kitandani hapo uongei kimya kimya shika ka siket kake pandisha juu pitisha goti lako katikati ya vimapaja vyake huku umemlaza chali unamuangalia tu usimsemeshe muache alalame wee fanya action tu atarainika mwenyewe piga mitii ....ukimaliza sasa mwambie na kupenda kimapenzi subilia jibu YES or NO......kubwa hapo ni yeees! Nasafari ya mapenzi itaanzia hapo.
 
Kuna jamaa mmoja tulikua ofisi moja miaka ya zamani, alinitongoza halafu sikumpa jibu kama nimemkubalia au nimemkatalia.

Kuna siku nilikuwa kwenye gari yake, alibahatika kunitekenya tuu wakati nashuka kuondoka...... ndo vikaishia hapo alikuwa na aibu ya kuomba mechi aka domo zege. Hiyo kunitongoza yenyewe alichukua mwaka mzima anafanya mazoezi ya kunitongoza aahahahahahahha.

Kweli wanaume mmeumbiwa mateso na kuhangaika, poleni.
Nipe mbinu mkuu
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom