Huyu msichana nafanya nae kazi sehemu moja nampenda sana ila yeye haelewi kabisa

Kweli lakin nitafanyaje?
Chapa ilale tu ila usiwe serious nae, atakuja kukuumiza huyo baadae mana hao viumbe wanabadilika kama vinyonga.Kula tunda then mpotezee usijenge kibanda mana kwasasa unamuona mzuri sababu bado hujamlala ila ukishamlala mara moja au mara mbili utamuona ni wakawaida tu na kama unavyojua thamani ya hawa viumbe ni kabla hujawavua pichu, ukishamvua tu ndo basi tena hana issue.
 
Kuna jamaa mmoja tulikua ofisi moja miaka ya zamani, alinitongoza halafu sikumpa jibu kama nimemkubalia au nimemkatalia.

Kuna siku nilikuwa kwenye gari yake, alibahatika kunitekenya tuu wakati nashuka kuondoka...... ndo vikaishia hapo alikuwa na aibu ya kuomba mechi aka domo zege. Hiyo kunitongoza yenyewe alichukua mwaka mzima anafanya mazoezi ya kunitongoza aahahahahahahha.

Kweli wanaume mmeumbiwa mateso na kuhangaika, poleni.
Asante kwa niaba ya wanaume wenzangu ndo maana Mungu alisema hakika mwanaume/wanaume tutakula kwa jasho kwa mateso na kuhangaika kusikoisha aisee
 
Kuna jamaa mmoja tulikua ofisi moja miaka ya zamani, alinitongoza halafu sikumpa jibu kama nimemkubalia au nimemkatalia.

Kuna siku nilikuwa kwenye gari yake, alibahatika kunitekenya tuu wakati nashuka kuondoka...... ndo vikaishia hapo alikuwa na aibu ya kuomba mechi aka domo zege. Hiyo kunitongoza yenyewe alichukua mwaka mzima anafanya mazoezi ya kunitongoza aahahahahahahha.

Kweli wanaume mmeumbiwa mateso na kuhangaika, poleni.
Aaaah acha kuniaibisha madam
 
Mkuu kwanza tupe mrejesho yule mke wa mtu uliemkokesha bafuni vp unaendelea kutafuna au vp
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom