Huyu msanii Wizkid anaweza sana

tamuuuuu

JF-Expert Member
Mar 10, 2014
19,750
24,826
Ni Wizkid wakuu, Jamaa anaweza sana. Na hao wadada wanaoonekana kwenye video zake ni balaa.
Tazama video yake ya In My Bed.
 
Huyu Dogo Ni Kinyesi Kibichi Aisee
Ngoma Zake I LOVE U BABY Na CARO
Zinanikamataga Kisana Sana
Ahsante Jigo
 
Sasa ahsante jigo ndio nini?..acha swaga za kishamba wewe kila ukiandika lazima uweke asante jigo ndio nini sasa
chief Swaga Zangu Hizihizi Za Kishamba Mi Ndo Nazikubali
Samahani Kama Inakuboa
Huwa Namshukuru Aliyefanikisha Uandishi!...Au Katika Kabila Lenu NiTusi?
Ahsante Jigo
 
mimi naikubali ngoma yake ya show my money ...aise ni sheeeeeeeeedah...ila nasikia jamaa na davido haziivi chungu kimoja .....
 
mimi naikubali ngoma yake ya show my money ...aise ni sheeeeeeeeedah...ila nasikia jamaa na davido haziivi chungu kimoja .....

Ile Biti Dogo Kaigaragaza Mpaka Huruma
Ni Wapinzani Sana Huko Kwao Ni Kama Diamond Na Ali Kiba Kwa Hapa Bongo
Na Wanasuka Beat Kwa Producer Mmoja Shizy
Ahsante Jigo
 
Sio wewe pekee ulioyasema hayo hata Chris Brown alishasema wizkid ni untouchable dogo ana talent sana
 
Ni Wizkid wakuu, Jamaa anaweza sana. Na hao wadada wanaoonekana kwenye video zake ni balaa.
Tazama video yake ya In My Bed.

Mimi namkubali huyu kuliko davido,on top your matter pia ni nzuri, nasubiri collabo yake na mondi
 
mi simkubali kivile, anastyle moja ya uimbaji tofauti na Davido ambaye yuko flexible. Huyo dogo anaishiaga kusifiwa tu kama anavyosifiwaga hapa bongo Alikiba ila mwisho wa siku tuzo zote anachukua Davido,km bongo anavyozichukua Diamond
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom