Huyu mrembo simuelewi kabisa

Nipo kwenye mahusiano na mrembo takribani miezi sita hivi.huwa anakuja kwangu nakuspendi nights.Kinachonishangaza sana nikwamba juzi kati amekorofishana na baba ake na ameamua kwenda kukaa na rafiki yake hostel. Hana kazi na wala biashara. Sijajua sababu yakwenda hostel coz at times she depend on me. Sielewi jamani kwa nn ameamua hivi na sitaki kumuacha coz she is so sweet.
Confused confuser...
 
She is so sweet! Vp anafaa kuwa mke? Ana malengo nawe ya mda mrefu? Kakorofishana na baba yake umejaribu kupeleleza kosa ni lipi? Na kwann asimuombe msamaha baba yake? Kama kakosana na baba yake kashindwa kujirudi je kwako itakuwaje pindi mkiwa ktk ndoa? Je un malengo ya kumuoa?
Being so sweet sio issue mkuu, atakutia hasara utalazimika kusitisha projects zako za maendeleo ili kumhudumia yeye maana itakuwa too expensive kwa mtu aliye hostel, anyway sijui kipato chako ila wanaume tusilewe na uzuri wa mwanamke ili twende na wakati mbele ya macho ya watu, angalia mwanamke mwenye nidhamu yaanj mtoto wa kike anagombana na baba yake hadi anaamua kuondoa hivi hata huyo ni mwanamke kweli wa kukuweka ndani au wa kuwa nae.....
 
Kila siku zinavyokwenda wanaume tunazidi kupoteza uwezo wa kufikiri.

Bora uwe na tatizo la upungufu wa nguvu za kiume kuliko kuwa na tatizo la upungufu wa kufikiri.
 
Nipo kwenye mahusiano na mrembo takribani miezi sita hivi.huwa anakuja kwangu nakuspendi nights.Kinachonishangaza sana nikwamba juzi kati amekorofishana na baba ake na ameamua kwenda kukaa na rafiki yake hostel. Hana kazi na wala biashara. Sijajua sababu yakwenda hostel coz at times she depend on me. Sielewi jamani kwa nn ameamua hivi na sitaki kumuacha coz she is so sweet.
Ninyi ni wapumbafu wote wabeya , wanafiki na wazinfaki

Lete story kamili siyo kuruka tu
 
Back
Top Bottom