mtz one
JF-Expert Member
- Dec 25, 2012
- 4,272
- 1,210
hamna mke wangu mbona unanifanyia hivi mie jamanihalafu wewe nakustahi sana nakupa ONYO ukae mbali na mimi!SINA MUME mimi unanisikia!!!!
hamna mke wangu mbona unanifanyia hivi mie jamanihalafu wewe nakustahi sana nakupa ONYO ukae mbali na mimi!SINA MUME mimi unanisikia!!!!
una hamu ya kuporomoshewa mvua ya matusi au?hamna mke wangu mbona unanifanyia hivi mie jamani
ndio kama unaweza mi sina kupendauna hamu ya kuporomoshewa mvua ya matusi au?
hivi wewe mwanaume mzima lakini?mbona unatabia za kike hivi....mapunguwani wanaazaga kama wewe hivo....baradhuli mkubwa wewe��Unajua hata kupenda ni nini?au unaropokwa tu!!ndio kama unaweza mi sina kupenda
hivi wewe mwanaume mzima lakini?mbona unatabia za kike hivi....mapunguwani wanaazaga kama wewe hivo....baradhuli mkubwa wewe😠Unajua hata kupenda ni nini?au unaropokwa tu!!
Huyu itabidi tumuimbie kindumbwendumbwe!!Safi sana....maana ana hashuo huyo kama kuku anaetaka kutaga...au mimba ya paka...
Huyu itabidi tumuimbie kindumbwendumbwe!!
kabisaaaaa kisha tumtembeze JF majukwaaa yoteee!!!Na tumpake na masinzi kama tunampodoa....
kabisaaaaa kisha tumtembeze JF majukwaaa yoteee!!!
poa mi nnakuripoti kwa modshivi wewe mwanaume mzima lakini?mbona unatabia za kike hivi....mapunguwani wanaazaga kama wewe hivo....baradhuli mkubwa wewe😠Unajua hata kupenda ni nini?au unaropokwa tu!!
poa mi nnakuripoti kwa mods
sio mbaya kaka angukabisaaaaa kisha tumtembeze JF majukwaaa yoteee!!!
achana na mm tafadhali....we fanya utakalo kwani hao mods vipofu...poa mi nnakuripoti kwa mods
sikua chi n'go mpaka unisameheachana na mm tafadhali....we fanya utakalo kwani hao mods vipofu...