General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,300
- 23,022
Kuwa DSO kapanda au kashushwa?Hapana Ndugai ulinzi wake upo. Huyo hausiki na ulinzi wake imetokea tu coincidence wamekutana katika kumuaga mzee mengi. Huyo ni DSO moshi mpaka muda huu ninapoandika wazo hili.
Zile maposhoposho ya ulinzi alizokuwa anapata akisafiri na Rais na huo mshahara wa DSO upi bora?
Naona wamemshusha na kumficha huko