Huyu Mlinzi wa Rais Magufuli kapatwa na majanga gani tena?

Hapana Ndugai ulinzi wake upo. Huyo hausiki na ulinzi wake imetokea tu coincidence wamekutana katika kumuaga mzee mengi. Huyo ni DSO moshi mpaka muda huu ninapoandika wazo hili.
Kuwa DSO kapanda au kashushwa?
Zile maposhoposho ya ulinzi alizokuwa anapata akisafiri na Rais na huo mshahara wa DSO upi bora?

Naona wamemshusha na kumficha huko
 
Na katika hiyo 25% iliyobaki naamini kabisa Mimi nipo pamoja na Wewe Mkuu na Mleta Mada ( Uzi ) Madimba jr bila kusahau wengineo wachache ila hata Mimi hapa hapa nimeanza Kuwaona hao wapo katika hiyo 75% yako Mkuu na ni wengi kweli na si ajabu leo huu ' Uzi ' watautendea haki sana tu kwa Kuuchangia.
Mnajkshtukia tu sisi tuna mambo yetu mengine kabisa humu
 
On top of that. Kanisa Katoliki lipo tofauti na makanisa mengine kiuongozi. Ukiangalia KKKT utasikia Askofu Shoo ni askofu mkuu wa kanisa lao. Lakini kwa RC kila Askofu ana mandate kamili ndani ya Jimbo lake. Kwa kusema hivo Hakuna Askofu wa Kikatoliki anayepokea order kutoka kwa Askofu mwingine labda iwe order ya Papa.
Kumbe RC haina askofu mkuu?
 
Mkuu Nini tofauti Kati ya intelligence na investigation kiutendaji mfano tiss na PCCB?
Mmoja mfuatiliaji, mzuiaji na mkusanyaji wa taarifa na kuziwasilisha panapohusika, mwingine anaprocess kazi za wa kwanza
 
Polisi wanaweza kuweza kuendelea na intelligence yao bila CID ili kitengo hicho kiwe na nguvu zaidi kwa internal affairs kama ilivyo FBI (CID) na CIA (TISS). CID ndio iliyokuja kuunda TISS lakini yenyewe inapaswa kuimarishwa zaidi ikijitegemea.
CID na TISS hawafanani kimajukumu
 
Ahahahaaaaa...! Ngoja ukumbane nao mkuu. Si umesoma hapo juu mwenzio alikuwa mbishi,aliwaona ni mabwege,lakini alipigwa kibao kimoja tu,tena cha ki-silence ili mkuu asione. Anakuambia ni mwaka sasa kila siku anakuwa kama anapigwa ni sasa hivi
Stori imenogeshwa tu
 
aisee kipind hiko natumia fekelo lang miaka hiyo mkuu, sasa kuna mtu wangu si kumbe wa pale karibu na makao makuu ya tigo/citi furniture si akanichoma sabb nilikuwa namsumbua ebwana nilifwatwa DM nikaambiwa hadi ninapoish na deep details fulan ndo kisa cha kuja na username yang mkuu hata fekelo nikalitupilia mbali
Wapekeye bado tuko nyuma yako
 
Back
Top Bottom