Huyu Mlinzi wa Rais Magufuli kapatwa na majanga gani tena?

Kwa hiyo yoyote anaefaulu mtihani vizuri yeye anapelekwa cyber crime hata kama hajui computer, basi hiyo tiss itakua tasi.

Huwezi kufanya cyber kama huna ujuzi wa ict tena mzuri, lakini kama kila mtu anaefaulu mtihani anakua cyber crime expert basi kazi ipo.
Mkuu kwenye suala la tasi umenivunja mbavu
 
Kusudio la maisha yako ni kuitumikia Nchi na si vinginevyo.
Hapa unakuwa umepoteza 85% ya uhuru wako binafsi. Ukipangiwa jukumu unaweza kuuwa au kuuwawa kama mambo hayatakwenda sawa.
Vp wale waliopangiwa "jukumu" kwa Tundu Lissu, wako hai au ndo hivyo wameachwa wafe wenyewe na ugonjwa wa meno na kuvimba vichwa?
 
Naomba Unijuze?? Kauzu Black Linaishi wap??
Sifahamu sana ila nilifikiri akishaingia ikulu na baada ya masaa ya kazi kwisha ulinzi na usaidizi anapokewa na wengine maana sio rahisi kumlinda rais masaa ishirini na nne

Na kwa kuzingatia kwamba najua katika kikosi kile hayuko mmoja kwahiyo kuna anayekuwa naye katika shughuli za mchana na matukio muhimu na kuna wanaomsaidia labda usiku na weekend

Nahisi tu sina ufahamu sana
 
Hakuna mtu poa kama huyo braza,haipiti siku mbili tatu bila kuchekiana...he is a true braza...kimedani huyo mtu ni noma mzee tena noma sana ni highly trained and trusted agent...niseme inatosha tu kwa hayo machache mkuu.
trusted agent what do you mean?
 
Ha ha ha umenikumbusha,stori za kina Veronica Amadu,Mwide,Sammy,Lulu nk.
ongeza na kitabu kinaitwa KULFURT"Gongo la chuma",Kufa na kupona,vyoye hivyo vya marehemu mzee Musiba.
Hivi huyo Musiba ana undugu na Cyprian?
 
Ukiona unamchokoza halafu wala hakufanyi lolote jua ya kwamba bado anamsikilizia Mwenyezi Mungu kwamba ' akudedishe ' uwahi Mbinguni au akuache Kwanza uendelee Kula Matunda ya Tanzania ya Viwanda, Stiglers Gorge na SGR. Na ukiona umemchokoza ( Provoke ) kadri uwezavyo na bado tu akawa anakuvumilia basi akikubadilikia na Kukupiga jua ' Breki ' yako ya Kwanza ni ICU Muhimbili, kisha utarudishwa kidogo Mwaisela au Sewahaji au Kibasila kupunga Upepo mara ya mwisho mwisho na baada ya hapo kwa Maumivu ya Kipigo ' Kitakatifu ' ambacho atakuwa amekupa basi utazidiwa tena ghafla na Kurudishwa ICU kisha muda mchache ujao Ndugu zako watapigiwa Simu waanze kuweka Maturubai huko Kwenu na Kutangaza Msiba wa ' Popoma Mchokozi ' Wewe na baada ya hapo ni Maziko yako ili ukayaanze maisha yako mapya uliyoyataka mwenyewe huko Udongoni / Mavumbini.
We jamaa bhana
 
Back
Top Bottom